Zamaradi ataja ujio wa filamu yake aliyoiandaa kwa Milioni 200

Kwa nini haafanya ya kiswahili 100%?
 
Una majungu baba wewe 🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamani acheni kuponda nimeangalia trailer hiyo movie inaonyesha ni nzuri mno. Ipo level za juu. Kuanzia camera, soundtracks, story. A bit action. Kajitahidi kwa kweli. Angalieni trailer kwanza.sio za kimapenzi mwanzo mwisho
 
Kwaio mara mia angepeleka kwa mnyawezi ommy_painter gari ingekua kama mpya...sio...
 

Chanzo cha mapato yake ni kipi huyu dada, Au wadhamini ndio wametoa mshiko mrefu ivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…