Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
Kawaida tu hiyo. Unaoa SINGLE MOTHER Unategemea nini ?KAMA ATAENDELEA CMG NI WAZI RUGE ANAMEGA KISELA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kawaida tu hiyo. Unaoa SINGLE MOTHER Unategemea nini ?KAMA ATAENDELEA CMG NI WAZI RUGE ANAMEGA KISELA.
Si akachukue alee tu,kwani noma?Hivi Ruge anajisikiaje watoto wake kulelewa na baba wa kambo?
Anaona ujana ni fahari acha wamuoleeHivi Ruge anajisikiaje watoto wake kulelewa na baba wa kambo?
Looh ngumu kumeza hiiSasa anavyojisikia unatuuliza sisi?..
kwani Ruge ana kasoro gani mkuu?Zamaradi stress anazo....we mtu mwenye akili timamu unawezaje kuzaa na mtu kama Ruge, umekosa wanaume?
ndo maana nimekuuliza.me sion tatizo lake?Mwangalie tu vizuri.
Ana tatizo la umalayando maana nimekuuliza.me sion tatizo lake?
Clouds haiwezi kufa kisa malaya mmoja
kuna mwanaume rijari asiekuwa malaya?Ana tatizo la umalaya