KUNA WATU WA KUWAPA POLE SANA MMOJA WAO NI ZAMARADI....................... Zamaradi hakuolewa na yule mwanaume wka utashi wake pekee yake alidhani atamkomesha RUGE na Clouds .. kwa nguvu ya BASHITE sasa kiukweli alipotea njia mara mia mbili................ wewe mwanamke tayari umezaa na wmanaume watoto wawili wakubwa wazuri ............... huyo huyo mwanaume bado hajaoa na wala sio kwamba ametaka kuoa........ unaenda kujitolea kafara kwa ajili ya mpuuzi mmoja ambaye hata yai moja la kuzalisha hana, na wala hajui lini atabahatika kuitwa baba.......... Zama alikosea sana mno na ndio maana anatafuta faraja kwenye mitandao na kupost pic kila uchwao ni aina ya kuondoa stress alizo nazo...... nilimwonea huruma mno....... MWANAMKE JASIRI NI YULE ANASIMAMA NA KUSEMA NAWEZA sasa yeye nadhani yule aliyemuoa now ni sijui acha nikomee hapa lakini ZAMA NAKUPA POLE BINADAMU MWENZANGU........... VUMILIA SITASHANGAA UKIAMUA KUOMBA TALAKA