Zamaradi kuasili mtoto

Huyu anatafuta housegirl tu hana lolote aasili kwan ndugu zake wameisha wa kuwasaidia basi awachukue yatima kama atawaweza wotee
Ameshakuambia yeye naye ni yatima, unajuaje kama ana ndugu au wameisha? Sioni haja ya kupanic kwa hili, analolifanya ni jambo jema.
 
hivi uyatima hauna kikomo? maana naona yeye pia anajiita yatimq
 
good to her, amuige angelina jolie.

wabongo hatuna utamaduni wakuasili watoto, tungekuwa na utamaduni wa kuasili watoto na machokoraa wangepungua mitaani.
 
Hivi kulea mtoto ni ngumu kiasi hicho? Ingekuwa maisha magumu yanamfanya mtu ashindwe kulea mtoto basi akina sie tusingefika umri huu

Ahahah hahaha nimeipenda hii mkuu, umeona isiwe tabu bora ujitolee mfano wewe mwenyew dah, humu kuna watu kiboko eti akina sie
 
Mie namuombea kheri

Anajishau si azae wake, juh juh mwenyew kamshinda kumlea kutwa kuwaachia ma housegirl huyo wa kuasili si ndo atamwacha kwa jiran kabisa, kujishaua tu
 
Ha ha ha bomu la nuclear au b56.zamaradi wanafanana upendo wao na wema sepetu(x miss tanzania).

Nakujua tu unataka niongee wee ili nikuchekeshee weee hunilipi ngoja nisepe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…