Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Zamaradi huyo huyo... anaweza kuasili! Hata mm, kwenye uzima nitaasili tu, sema tatizo langu sipendi vurugu za watoto kwahiyo nitasubiri nizeeke zeeke kwanza.
Hhaaa uzeekee si ndio watakusumbuaajee maana unakua babu