Zamaradi kuasili mtoto

Zamaradi huyo huyo... anaweza kuasili! Hata mm, kwenye uzima nitaasili tu, sema tatizo langu sipendi vurugu za watoto kwahiyo nitasubiri nizeeke zeeke kwanza.

Hhaaa uzeekee si ndio watakusumbuaajee maana unakua babu
 
Hhaaa uzeekee si ndio watakusumbuaajee maana unakua babu
Mi naonaga mababu wote na wenyewe wanakuaga kama ma-kid hivi... hopeful na mimi n'takua ka' kid flani hivi kwahiyo itakuwa full domo wazi kufurahia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…