nanga mstafu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2016
- 381
- 649
Ukiona hazieleweki ziache vinginevyo unstafuta mlegeza springmaswali yako JF ni kichefuchefu na uharo mtupu.
Huna hoja za msingi, kubwa zima unataka kujua hadi tarehe za period za Zamaradi, hebu nikalie mbali ushuzi wa maharage wee
Ukiona hazieleweki ziache vinginevyo unstafuta mlegeza spring
Nanga mstaafu unajiabisha. Uzi wako ni wa kiboya, ukiambiwa ukweli vumilia hata kama mchungu. Bora ukae kimya ufiche upumbavu wako kuliko kuanza kutukana matusi. Matusi yanaonyesha kwamba wewe sio mtu mwenye uwezo wa kujenga hoja kwani hoja hujibiwa kwa hoja wala si kwa matusi.
Fara wwNajadili na kuchangia mada ( threads ) zingine zenye akili humu na zinazohitaji Critical Thinking tafadhali, hii nimeshamalizana nayo Kitambo na nilichokiandika hapo mwanzo ndicho kinabaki hivyo hivyo sipunguzi wala siongezi kitu chochote. Nimemaliza.