Zamaradi Mketema awa mtangazaji wa kwanza kuingia Wasafi TV/Radio

Zamaradi Mketema awa mtangazaji wa kwanza kuingia Wasafi TV/Radio

maswali yako JF ni kichefuchefu na uharo mtupu.
Huna hoja za msingi, kubwa zima unataka kujua hadi tarehe za period za Zamaradi, hebu nikalie mbali ushuzi wa maharage wee
Ukiona hazieleweki ziache vinginevyo unstafuta mlegeza spring
 
Wewe kubwa jinga, kwa kukusaida tu kipimo cha kwamba umeandika point au uharo hapa JF ni likes unazopata kwenye comment.
Hebu hesabu likes kwenye uzi wako halafu linganisha na zile za kwangu .
Very simple analysis
Ukiona hazieleweki ziache vinginevyo unstafuta mlegeza spring
 
Nanga mstaafu unajiabisha. Uzi wako ni wa kiboya, ukiambiwa ukweli vumilia hata kama mchungu. Bora ukae kimya ufiche upumbavu wako kuliko kuanza kutukana matusi. Matusi yanaonyesha kwamba wewe sio mtu mwenye uwezo wa kujenga hoja kwani hoja hujibiwa kwa hoja wala si kwa matusi.
 
Duh !! Kumekucha Jf

Sent using Jamii Forums mobile app
 
O
Najadili na kuchangia mada ( threads ) zingine zenye akili humu na zinazohitaji Critical Thinking tafadhali, hii nimeshamalizana nayo Kitambo na nilichokiandika hapo mwanzo ndicho kinabaki hivyo hivyo sipunguzi wala siongezi kitu chochote. Nimemaliza.
Fara ww
 
Back
Top Bottom