Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
The enemy of ur enemy.......Kama mada inavyoonekana,aliyekuwa baby mama wa ruge mutahaba zamaradi mketema ajiunga rasmi na wasafi TV.
Kuwa wa kwanza kwenye mambo ya kidunia sio ishu kubwa sana ... mana bado kuna maisha baada ya dunia ...Mkumbushe afanye mambo yampendezayo mungu ili awe wa kwanza kwenda mbinguni kama alivyo kuwa binti wa kwanza kwenda wasafiunamaanishaa....fafanua kidogo bas
nimekuelewa mkuu ...au kuna zaidi ya apo?Kuwa wa kwanza kwenye mambo ya kidunia sio ishu kubwa sana ... mana bado kuna maisha baada ya dunia ...Mkumbushe afanye mambo yampendezayo mungu ili awe wa kwanza kwenda mbinguni kama alivyo kuwa binti wa kwanza kwenda wasafi
Kama anataka kupata audence kwa mfupi basi hawa wanafaa kuwatumia but kama anatka station yake iwe bora zaidi hao watu hawamfai...Wema,diamond, wolper,aunti ezekiel,shishi baby kuhozi baadhi ya vipindi
Kama naona venue watu wote macho kodo ndan ya WASAFI TV/RADIO
Tuko pamoja sana alafu mama anakusalimia sananimekuelewa mkuu ...au kuna zaidi ya apo?
Huyu wamnunue kwa gharama yeyoteWakimpata LyliOmmy watakuw wamelamba Dume ase
Is your friend.The enemy of ur enemy.......
timu kugrind huyo.....Mbona povu mzee!? Hii ni news tu kama unazozileta wewe. Nimeshangaa sana kuona unatoa povu zito hivi.
Zinahusu wasafi au wasanii wote kwa ujumla?LyliOmmy Anaipenda Sana Wasafi angalia sana interview zake
Jamaa ana stress zake tuNimerudia tena kuisoma hiyo post ambayo jamaa alikuwa anatoa taarifa tu. Sijaona ushamba wala Umbwigira katika post hiyo. Hebu funguka zaidi ili watu wakuelewe labda kuna unayoyajua zaidi wengine hatuyajui.
Nimerudia tena kuisoma hiyo post ambayo jamaa alikuwa anatoa taarifa tu. Sijaona ushamba wala Umbwigira katika post hiyo. Hebu funguka zaidi ili watu wakuelewe labda kuna unayoyajua zaidi wengine hatuyajui.
Na SkyWalker(fredrick Bundala)Wakimpata LyliOmmy watakuw wamelamba Dume ase
Sasa ww ndo unajiona mjanja. ShumeSo What? Hivi angeenda BBC ingekuwaje? Tuacheni Umbwigira / Ushamba na ndiyo ' Sumu ' kubwa inayotutesa na kutumaliza Watanzania.