Zamaradi Mketema awa mtangazaji wa kwanza kuingia Wasafi TV/Radio

Zamaradi Mketema awa mtangazaji wa kwanza kuingia Wasafi TV/Radio

Nimerudia tena kuisoma hiyo post ambayo jamaa alikuwa anatoa taarifa tu. Sijaona ushamba wala Umbwigira katika post hiyo. Hebu funguka zaidi ili watu wakuelewe labda kuna unayoyajua zaidi wengine hatuyajui.
Jamaa ana stress zake tu
 
Nimerudia tena kuisoma hiyo post ambayo jamaa alikuwa anatoa taarifa tu. Sijaona ushamba wala Umbwigira katika post hiyo. Hebu funguka zaidi ili watu wakuelewe labda kuna unayoyajua zaidi wengine hatuyajui.

Najadili na kuchangia mada ( threads ) zingine zenye akili humu na zinazohitaji Critical Thinking tafadhali, hii nimeshamalizana nayo Kitambo na nilichokiandika hapo mwanzo ndicho kinabaki hivyo hivyo sipunguzi wala siongezi kitu chochote. Nimemaliza.
 
Hata efm ilianza kwa kishindo sana na gharama kubwa ila sasa imetulizwa, cha msingi atafute watangazaji amabao hawana ajira ambao watafanya kazi kwa weledi hao wakongwe awaajiri wachache wa kumpa mawazo na muongozo ili kuepusha watangazaji kuondoka kisa wanamajina makubwa
 
Back
Top Bottom