Zamaradi Mketema awa mtangazaji wa kwanza kuingia Wasafi TV/Radio

Mashabiki wa Ruge bana. Kila mtu anafanya kwa sehemu yake. Cloud TV ni TV station poor poor kabisa. Kuanzia kwenye production mpaka kwenye setting ya environment. Angalia quality za Tv zingine.
Nakubaliana na wewe production ya clouds haivutii ukilinganisha na eatv na sioni kama wamejitahidi kuboresha nadhani jina linawabeba kidogo
 
Kwani imekuwaje clouds? I thought ni mahusiano tu yalikufa kazo ingeendelea‍♀️
Ajira za kitaanzania zisizo na sifa hizi, unapata kwa kumpa boss mwili wako. Ukiacha kumpa utamu boss na kazi inakwisha.
 
So What? Hivi angeenda BBC ingekuwaje? Tuacheni Umbwigira / Ushamba na ndiyo ' Sumu ' kubwa inayotutesa na kutumaliza Watanzania.
We kwa nini unalitumia vibaya povu lako???? Afu we jamaa sijui ni gani yaani??? You are the hater of the highest order. Kwa kosa gani na kwa ubaya upi watu kumtangaza mtu wao. This is bussiness dude!! Guys are trying to keepin attracting attention for their innitiative.

Nilitaka nikutusi ila ngoja nikuache tu.
 
Mimi nachoomba hio radio sijui TV wajikite kwenye burudani na wasibague wasanii,au kukubali kutumiwa na chama Fulani hasa kwenye kampeni wawe makini wameanza vizuri ila wasije wakawa kama radio Uhuru au TBC maana naona makada kibao wa ccm hapo
 
Hivi utamtusi Mtu ambaye Kiwanda cha Matusi yote uyajuayo hapa duniani anakimiliki Yeye?
 
Hivi utamtusi Mtu ambaye Kiwanda cha Matusi yote uyajuayo hapa duniani anakimiliki Yeye?
Si kweli kama we ndo mmiliki wa kiwanda cha matusi na kwamba matusi yote unayajua wewe,.. ingekua hvo basi ungeweza kun'gamua matusi nilokuchapa nayo katika reply yangu. Any way tuyaache mkuu
 
Nimerudia tena kuisoma hiyo post ambayo jamaa alikuwa anatoa taarifa tu. Sijaona ushamba wala Umbwigira katika post hiyo. Hebu funguka zaidi ili watu wakuelewe labda kuna unayoyajua zaidi wengine hatuyajui.
Nakupa like leo kwa mara ya kwanza
 
Nakubaliana na wewe production ya clouds haivutii ukilinganisha na eatv na sioni kama wamejitahidi kuboresha nadhani jina linawabeba kidogo
Clouds ni radio station ndio wako vizuri lakini kwenye TV hawako vizuri kama eatv
 
Si kweli kama we ndo mmiliki wa kiwanda cha matusi na kwamba matusi yote unayajua wewe,.. ingekua hvo basi ungeweza kun'gamua matusi nilokuchapa nayo katika reply yangu. Any way tuyaache mkuu

Naona umeamua Kusalimu amri mwenyewe Kidiplomasia. Una bahati kweli kweli kwani nilijiandaa kukupa ' Kitu Dozi ' murua / mujarab / jadid / sahihi kabisa.
 
Yaani hii picha tu inaonyesha kuwa kuna mtu nyuma ndo boss wa hivo vituo diamond na timu yake ni mabalozi kama ilivo kwa diamond Karanga na chibu perfume yaani wanatumia Jina LA mond kujipatia mashabiki .. Diamond asingekuwa anapuyanga nayeye kutafuta cjui vibali cjui nn angewaweka mameneja ndo wasimamie kila kitu lkn kutwa kucha ni yeye .
 
Kwa mfano, kamfanyia dharau ipi huyo Ruge? Btw, huyo Ruge kamtoa Diamond wapi ikiwa hata THT alikataliwa?!
Da Mange kasema Ruge ndio manager wa Diamond kwa miaka mingi tu, Babu Tale aliwekwa kama cover tu.
 
Zamaradi asijivune leo watoto bado wadogo wakikua atajuta kuwazaa. Watamuuliza kwa nini ulimnyanyasa baba yetu. Time will tell..
Huku kukurupuka bila kuwaza kuna madhara yake mbele ya safari....
Alimnyanyasa vipi tena jamani acha mambo ya familia kuna mtu asiyemjua Ruge na Umalaya wake, acha bwana mimi mwanamke lakini Ruge hata miezi miwili siwezi kuishi naye. Please please sema mambo mengine lakini siyo kumtetea Ruge.
 
Naona umeamua Kusalimu amri mwenyewe Kidiplomasia. Una bahati kweli kweli kwani nilijiandaa kukupa ' Kitu Dozi ' murua / mujarab / jadid / sahihi kabisa.
Ni kweli boss,.........chale langu la kushoto limenambia kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…