uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 9,616
- 22,521
Nakubaliana na wewe production ya clouds haivutii ukilinganisha na eatv na sioni kama wamejitahidi kuboresha nadhani jina linawabeba kidogoMashabiki wa Ruge bana. Kila mtu anafanya kwa sehemu yake. Cloud TV ni TV station poor poor kabisa. Kuanzia kwenye production mpaka kwenye setting ya environment. Angalia quality za Tv zingine.