mjenziwakale
JF-Expert Member
- Sep 24, 2015
- 954
- 1,469
Mwanaume gani asiye malaya............Alimnyanyasa vipi tena jamani acha mambo ya familia kuna mtu asiyemjua Ruge na Umalaya wake, acha bwana mimi mwanamke lakini Ruge hata miezi miwili siwezi kuishi naye. Please please sema mambo mengine lakini siyo kumtetea Ruge.
Poa mkuu ni kweli nimefuta kauliMtake radhi Legendary Tido Mhando, siyo hadhi yake hiyo media.
hicho kilugha gani mkuu?? ...can be what?Smart people can be work together.
Hahahah smart people can work togetherSmart people can be work together.
Be iliingia mkuu si unajua smart phone tena.Hahahah smart people can work together
Basi kama hivyo, basi sawa!!Da Mange kasema Ruge ndio manager wa Diamond kwa miaka mingi tu, Babu Tale aliwekwa kama cover tu.
we mbwiga unamuamini huyo chizi Mange?Da Mange kasema Ruge ndio manager wa Diamond kwa miaka mingi tu, Babu Tale aliwekwa kama cover tu.
Chizi Mange ni wa kwako, mimi nimemtaja Da Mange.we mbwiga unamuamini huyo chizi Mange?
Hili linahitaji tafakuri haswaa.Naliona anguko la diamond
HaswaaUmeona mbali sana mzee!!
Umemaliza kujitekenyaYaani hii picha tu inaonyesha kuwa kuna mtu nyuma ndo boss wa hivo vituo diamond na timu yake ni mabalozi kama ilivo kwa diamond Karanga na chibu perfume yaani wanatumia Jina LA mond kujipatia mashabiki .. Diamond asingekuwa anapuyanga nayeye kutafuta cjui vibali cjui nn angewaweka mameneja ndo wasimamie kila kitu lkn kutwa kucha ni yeye .
Hata ungekuwa wewe usingekua huru kwenye mazingira kama yaleKwani imekuwaje clouds? I thought ni mahusiano tu yalikufa kazo ingeendelea♀️
Zile ni drama tu.
Mwanaume akili yake anaijua mwenyewe
Mfuvu ni hatari kwa kweli hapo watakuwa wamepata kichwa...
Bosi hawa watu hawatujuagi vizuri,
Mwanaume anaweza kufanya lolote ili tu atupiemo,
Ndo maana kuna wanaume wanapangishia nyuma hata wanawake wanne kwa wakati mmoja na wote wanapewa magari halafu bado mtaani anatafuta wengine tofauti na yule
Mimi binafsi naweza kulia ili tu nichunguliemo ndani hiyo
Na hata kama mtoto akinitosa nakomaaga hata baada ya miaka kadhaa ili nikikutana nae tu swaaaafi nakimbiza na bahati mbaya kama alinitosa kwa mbwembwe
Ukweli unaumaUmemaliza kujitekenya
Kama mada inavyoonekana,aliyekuwa baby mama wa ruge mutahaba zamaradi mketema ajiunga rasmi na wasafi TV.
View attachment 701431