Zamaradi Mketema awa mtangazaji wa kwanza kuingia Wasafi TV/Radio

Zamaradi Mketema awa mtangazaji wa kwanza kuingia Wasafi TV/Radio

Alimnyanyasa vipi tena jamani acha mambo ya familia kuna mtu asiyemjua Ruge na Umalaya wake, acha bwana mimi mwanamke lakini Ruge hata miezi miwili siwezi kuishi naye. Please please sema mambo mengine lakini siyo kumtetea Ruge.
Mwanaume gani asiye malaya............
 
"Oho!" said the pot to the kettle;
"You are dirty and ugly and black!
Sure no one would think you were metal,
Except when you're given a crack."

"Not so! not so!" kettle said to the pot;
"'Tis your own dirty image you see;
For I am so clean – without blemish or blot –
That your blackness is mirrored in me."
 
Kwani clouds aliachaga kazi? msinishange mi siku hizi sifuatilii kabisa habari, nimejikita kwenye vitu vya kijinga tu maana ni salama kwangu
 
Yaani hii picha tu inaonyesha kuwa kuna mtu nyuma ndo boss wa hivo vituo diamond na timu yake ni mabalozi kama ilivo kwa diamond Karanga na chibu perfume yaani wanatumia Jina LA mond kujipatia mashabiki .. Diamond asingekuwa anapuyanga nayeye kutafuta cjui vibali cjui nn angewaweka mameneja ndo wasimamie kila kitu lkn kutwa kucha ni yeye .
Umemaliza kujitekenya
 
Kwani imekuwaje clouds? I thought ni mahusiano tu yalikufa kazo ingeendelea‍♀️
Hata ungekuwa wewe usingekua huru kwenye mazingira kama yale
Ila kwa sasa mambo ni huria,mtu ana uhuru wa kwenda penye mshiko mzito
 
Zile ni drama tu.
Mwanaume akili yake anaijua mwenyewe

Bosi hawa watu hawatujuagi vizuri,

Mwanaume anaweza kufanya lolote ili tu atupiemo,

Ndo maana kuna wanaume wanapangishia nyuma hata wanawake wanne kwa wakati mmoja na wote wanapewa magari halafu bado mtaani anatafuta wengine tofauti na yule

Mimi binafsi naweza kulia ili tu nichunguliemo ndani hiyo

Na hata kama mtoto akinitosa nakomaaga hata baada ya miaka kadhaa ili nikikutana nae tu swaaaafi nakimbiza na bahati mbaya kama alinitosa kwa mbwembwe

Mfuvu ni hatari kwa kweli hapo watakuwa wamepata kichwa...
 
Bosi hawa watu hawatujuagi vizuri,

Mwanaume anaweza kufanya lolote ili tu atupiemo,

Ndo maana kuna wanaume wanapangishia nyuma hata wanawake wanne kwa wakati mmoja na wote wanapewa magari halafu bado mtaani anatafuta wengine tofauti na yule

Mimi binafsi naweza kulia ili tu nichunguliemo ndani hiyo

Na hata kama mtoto akinitosa nakomaaga hata baada ya miaka kadhaa ili nikikutana nae tu swaaaafi nakimbiza na bahati mbaya kama alinitosa kwa mbwembwe

Mafuvu?

Hivi nyie watu tunaangaliaje ubora wa Dj’s na presenters hapa bongo,

Nawaona tu mara mafuvu mara lili ommy hivi huyu mafuvu anayepiga piga makelele hovyo hovyo akiwa kwenye mashine ndo wakumuita Dj bora
 
Kipi atakachofanya mpaka kuanzishiwa uzi! Mbona hana impact yeyote!
 
Kama mada inavyoonekana,aliyekuwa baby mama wa ruge mutahaba zamaradi mketema ajiunga rasmi na wasafi TV.

View attachment 701431

Afadhali ahamie Wasafi Tv tumezimis habari za kina Kaoge na kina James Delicious ,maana huko ndo wanaendana na habari hizo.

Ila angalizo kwako Zamaradi, kama Zari alikutwa na watoto watatu wakubwa akalokota kulunyavu ,we mwenye mtoto mmoja utasalimika?
 
Back
Top Bottom