Zamaradi Mketema awa mtangazaji wa kwanza kuingia Wasafi TV/Radio

Watu wachache sana wanaomfaham huyu jamaa SkyWalker ila jamaa anajua sana toka RFA hadi now kwenye Dizzim online & Afripods namkubal Sana,,, mwingne kuna mshkaj alkuwa anatangaza EA radio alkuwa anaitwa Sebastian Baadae namskia Choice nae anajua hatar
 
Nimerudia tena kuisoma hiyo post ambayo jamaa alikuwa anatoa taarifa tu. Sijaona ushamba wala Umbwigira katika post hiyo. Hebu funguka zaidi ili watu wakuelewe labda kuna unayoyajua zaidi wengine hatuyajui.
Hakuna anachojua zaidi ya kurusha maneno ya kashfa. Anasumbuliwa na utanzania wa kukereka anapoona watu wanafanikiwa.
 
Sebastian simjui mkuu ila sky namkubali mpaka kesho
 
Watamchukua Yule wanawake Live,Faiza wa Sugu, MUNA love na Joyce kikumbi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamani mondi afanye mambo Gani mazuri mumpongeze acheni umaskini wa fikra kama uyo mtangazaji angekuwa dada yako ungesema hizo best
 
Kuna mengi ya kujiuliza kwa huyu dada, kama aliacha walivyotengana na boss wake kuna ? Nyingi, ila pia inatoa picha gani kwa wanawake wengine ambao ni waajiriwa wa clouds kama meena ali, na wengineo usikute nao jamaa kawapitia na wangetofautiana tu ingekua wanaacha kazi
 
Maswala mengine yako very personal. Ni ujinga wa hali ya juu sana kuuliza swali kama hili kwani halina tija, sio kwako tu ila kwa taifa zima kwa ujumla.
Rudi darasa la tatu kajifunze tabia za viumbe hai, miongoni mwa tabia kuu ni kujongea, kutoka sehemu moja kwenda nyingine.
 
Pilipili usiyoila inakuwashia nn nyuma mama au unataka kukunwa?
 
maswali yako JF ni kichefuchefu na uharo mtupu.
Huna hoja za msingi, kubwa zima unataka kujua hadi tarehe za period za Zamaradi, hebu nikalie mbali ushuzi wa maharage wee
Ushuzi unatoa ww kwani nyuma washakulegeza turbo hiyo
 
 
Ushuzi unatoa ww kwani nyuma washakulegeza turbo hiyo
Haha haha ni kujiabisha kuongea na chicken head kama wewe. Weee tukana hadi uchoke maana akili yako imejaa matusi na kulegezwa.
Endelea kulegezwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…