Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
sawa tu na wema naona naye kawa wakwanza kualikwaKama mada inavyoonekana,aliyekuwa baby mama wa ruge mutahaba zamaradi mketema ajiunga rasmi na wasafi TV.
View attachment 701431
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawa tu na wema naona naye kawa wakwanza kualikwaKama mada inavyoonekana,aliyekuwa baby mama wa ruge mutahaba zamaradi mketema ajiunga rasmi na wasafi TV.
View attachment 701431
Watu wachache sana wanaomfaham huyu jamaa SkyWalker ila jamaa anajua sana toka RFA hadi now kwenye Dizzim online & Afripods namkubal Sana,,, mwingne kuna mshkaj alkuwa anatangaza EA radio alkuwa anaitwa Sebastian Baadae namskia Choice nae anajua hatarChuma kipi hapo zamaradi au?
Huyu zamaradi ana uchumangani katika utangazaji?
Lil ommy?? Hivi tunaangalia vigezo gani mpaka tumuite mtu mtangazaji mzuri au zile swagga za kurembua kama mchicha mwiba
Yes maaamen hawa ndo ma-presenter sasa na hakuna mtu atakaa am-mention huyu jamaa ndo bonge la Dude mzee
De-andy ana nini cha ziada au zile kelele zake
Hakuna anachojua zaidi ya kurusha maneno ya kashfa. Anasumbuliwa na utanzania wa kukereka anapoona watu wanafanikiwa.Nimerudia tena kuisoma hiyo post ambayo jamaa alikuwa anatoa taarifa tu. Sijaona ushamba wala Umbwigira katika post hiyo. Hebu funguka zaidi ili watu wakuelewe labda kuna unayoyajua zaidi wengine hatuyajui.
Sebastian simjui mkuu ila sky namkubali mpaka keshoWatu wachache sana wanaomfaham huyu jamaa SkyWalker ila jamaa anajua sana toka RFA hadi now kwenye Dizzim online & Afripods namkubal Sana,,, mwingne kuna mshkaj alkuwa anatangaza EA radio alkuwa anaitwa Sebastian Baadae namskia Choice nae anajua hatar
Take easy manSo What? Hivi angeenda BBC ingekuwaje? Tuacheni Umbwigira / Ushamba na ndiyo ' Sumu ' kubwa inayotutesa na kutumaliza Watanzania.
Hujui huyu ni Ndo Ruge mwenyeweMbona povu mzee!? Hii ni news tu kama unazozileta wewe. Nimeshangaa sana kuona unatoa povu zito hivi.
So What? Hivi angeenda BBC ingekuwaje? Tuacheni Umbwigira / Ushamba na ndiyo ' Sumu ' kubwa inayotutesa na kutumaliza Watanzania.
Awe makini ili awe wakwanza kwenda mbiguni pia ...
Pilipili usiyoila inakuwashia nn nyuma mama au unataka kukunwa?Maswala mengine yako very personal. Ni ujinga wa hali ya juu sana kuuliza swali kama hili kwani halina tija, sio kwako tu ila kwa taifa zima kwa ujumla.
Rudi darasa la tatu kajifunze tabia za viumbe hai, miongoni mwa tabia kuu ni kujongea, kutoka sehemu moja kwenda nyingine.
maswali yako JF ni kichefuchefu na uharo mtupu.Pilipili usiyoila inakuwashia nn nyuma mama au unataka kukunwa?
Ushuzi unatoa ww kwani nyuma washakulegeza turbo hiyomaswali yako JF ni kichefuchefu na uharo mtupu.
Huna hoja za msingi, kubwa zima unataka kujua hadi tarehe za period za Zamaradi, hebu nikalie mbali ushuzi wa maharage wee
maswali yako JF ni kichefuchefu na uharo mtupu.
Huna hoja za msingi, kubwa zima unataka kujua hadi tarehe za period za Zamaradi, hebu nikalie mbali ushuzi wa maharage wee[/QUOTEukiona huelewi au haikuhusu pita kushoto vinginevyo unatafuta mtoa marinda
Haha haha ni kujiabisha kuongea na chicken head kama wewe. Weee tukana hadi uchoke maana akili yako imejaa matusi na kulegezwa.Ushuzi unatoa ww kwani nyuma washakulegeza turbo hiyo