Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
huyu kijana wa majaliwa, nadhani pm anatakiwa kumkalisha na kumwambia aache maisha ya ajabuajabu. kipindi kile amemtishia raia kwa bunduki na clip zipo hajafanywa kitu, sasahivi anatishia vijana tena na kuwaweka ndani, anaangaliwa tu. mbona watoto wa vigogo wengine wana akili sana? hivi huwa hawajifunzi kwa riziwani na watoto wa mwinyi? hivi pm huwa haoni huyu dogo anayoyafanya?Mambo ya kuuza nyumba kunnu gari afu anasifiwa mme
Mambo ya kuweka Bondi nyumba afu asifiwa mme
Weeeeeee