Zamaradi Mketema hayo macho hufai kuwa kwenye tv

Zamaradi Mketema hayo macho hufai kuwa kwenye tv

Hii ndio JF,una njaa,una hasira,una mawazo basi ww katizamo tu humu JF hutajisikia mnyonge tena,hakika utajihisi ni sehemu ya familia.......ndani ya JF akisifiwa mtu basi asifiwa kweli japo si na wote na akipondwa atapondwa mpk utamani kumuona uhakikishe hayo yanayoongelewa.....binafsi nimeshawahi angalia kipindi cha huyu dada mara moja ila suala la macho hata sikuliona,ngoja nirudie kuangalia siku nyingine namimi nijiridhishe.
 
mara aitwe kaukau mara sijui nini muacheni mtoto wa watu mbona ni mzuri tu

Ni kweli, ila usimuone nasikia yule wa 76 she is aged. Hayo mambo ya kisichana yananza kumwacha
 
mmh angekuwa na msimamo angezaa na bosi wake jaman! hana lolote attention seeker kama hao wengine tu ajipange.
 
Nani anaumba mzuri na nani aumba mbaya? Mm najua muumba ni 1 tu alie umba ardhi na vilivyimo nadani yake au kunasehemu wanauza uzuri au ubaya acheni kumkufuru muuba. Hakuna mbaya wawote na hakuna mzuri wa wote
 
Wekeni picha basi na wengine tutishike na hayo macho lol!
 
Zamaradi mwenzio Ruge alikua na flaviana matata week end zanzibar,halooooooooooo
 
yea mkuu,,vimeno vyake vimeachana achana sana bas akicheka anavifunika na mkono kimtindo...ushawai ona miguu yake? km stendi za kamera

Hahaaaa,jaman watu mna manenooo,et km stand ya kamera
 
Jamani mtu anisaidie kujua kosa la huyu dada.....mbona anapondwa hivi?au ana damu ya kunguni?maana mi namuona yuko sawa tu....na hata kama amebebwa basi naye kajibeba haswaaa!
 
Hivi pale Ruge atakua alipendea nini?
Demu mwenyewe hata pa kushika hamna, analazimisha Cat-Walk mpaka anataka kudondoka.
 
Mtoto mzuri kabisa huyu nyie mnamponda...dah wabongo mna wivu,hayo macho mabaya yako wapi
 
Back
Top Bottom