mara aitwe kaukau mara sijui nini muacheni mtoto wa watu mbona ni mzuri tu
Mimi meno yake ndo yananitisha.
yea mkuu,,vimeno vyake vimeachana achana sana bas akicheka anavifunika na mkono kimtindo...ushawai ona miguu yake? km stendi za kamera
Kama chuki binafsi hivi
yea mkuu,,vimeno vyake vimeachana achana sana bas akicheka anavifunika na mkono kimtindo...ushawai ona miguu yake? km stendi za kamera
i smell it too!Kama chuki binafsi hivi
jamani tuchunge midomo...likikufika ndugu......mi naishia hapa....Zamaradi mwenzio Ruge alikua na flaviana matata week end zanzibar,halooooooooooo