Zamaradi Mketema hayo macho hufai kuwa kwenye tv

yea mkuu,,vimeno vyake vimeachana achana sana bas akicheka anavifunika na mkono kimtindo...ushawai ona miguu yake? km stendi za kamera

Ha ha ha kudadeki mbavu sina he he he aisee.
 

Zamaradi..
 

Attachments

  • zama.jpg
    29.1 KB · Views: 434
mliwahi kuumba watu wangapi jamani?
hiyo miili yenu yenye uzuri wa kusemeka uko wapi yailahi?
hamjamalizwa kuumbwa!
hamjawahi kuumba
mnapata wapi nusra za kuumbua kiumbe cha Muumbaji?
 
mliwahi kuumba watu wangapi jamani?
hiyo miili yenu yenye uzuri wa kusemeka uko wapi yailahi?
hamjamalizwa kuumbwa!
hamjawahi kuumba
mnapata wapi nusra za kuumbua kiumbe cha Muumbaji?

Haswaaaa...!!!!!..
 
Mungu akusaidie
hujui kuwa kila kiumbe kiliumbwa kwa mfano wa Mungu na ni pambo la Mungu?
kwanini umwambie mwenzio hivyo? unajua hujafa hujaumbika wewe?
chunga na angalia sana usijekuwa :faint2::faint2:
 


RUGEEEEEEEEE,kuna mtu anakisema kifaa chako hukuuu!!!!!!
Anataka kutumia FURSAaaa......


"Nilikuwepo":bolt:
 

RUGEEEEEEEEE,kuna mtu anakisema kifaa chako hukuuu!!!!!!
Anataka kutumia FURSAaaa......


"Nilikuwepo":bolt:

Halafu Ruge na Zamaradi wanafanana Sura zao. Kuanzia macho hadi meno.
 
Tatizo yupo serious sana,hana mda na mambo ya kijinga,halafu anaumbua vibaya yule,sema anaipatia kazi yake,yupo kikazi zaidi,na yule uwa hasumbuliw na maneno ya watu at kidogo,anajiamin kupita kias
 
Kwani ndugu???

"Nlikuwepo":bolt:
 

Attachments

  • images.jpg
    4.6 KB · Views: 725
  • imgres.jpg
    7.1 KB · Views: 144
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…