Zamaradi Mketema na Ray C warushiana maneno Instagram kisa ni penzi la Ruge!

Zamaradi Mketema na Ray C warushiana maneno Instagram kisa ni penzi la Ruge!

ALWATAN KIZIGO

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
539
Reaction score
644
Ni leo hii kupitia akaunt zao za instagram wamerushiana maneno makali huku kisa ni kikiwa ray c kuingilia penz la ruge mutahaba na zamaradi ambao kwa pamoja wamefanikiwa kupata mtoto mmoja wa kiume...

Ikumbukwe hapo awali ruge na Ray c walishawahi kuwa mapenzin kabla ya kutengana lakini hiv sasa wamerudiana kiasi kwamba zamaradi amezifuma sms za mapenz za ray c kwa ruge ikiwa ni pamoja na ray c kumpigia simu ruge usiku mnene..

attachment.php

attachment.php



Jisomee pia kutoka Bongo 5:

So Rehema Chalamila aka Ray C na mtangazaji wa kipindi cha Take One cha Clouds TV, Zamaradi Mketema haziivi? Katika kile kilichoacha wazi midomo ya watu wengi, warembo hao leo wameingia kwenye vita vya maneno kwenye mtandao wa Instagram.
page8.jpg

Alianza Zamaradi aliyepost picha yenye maneno ya mafumbo:
aae8fb521c4a11e3842d22000a1f9ada_7.jpg

Picha hiyo aliiandikia maneno haya:

Huwezi amini sikuchukii ila nimezidi kukudharau!!!! Katika watu wa mwisho kabisa ambao siwezi kupanic nao hata siku moja ni WEWE.. Dont waste your energy.. you have so much to accomplish ndugu.. mi hunipi tabu kabsa, kabsaa, kabisaaaaaaaaa yani sanasana unanichekesha tu na vituko visivyoisha.. lol!! Ila sikulaumu sana sio kosa lako maskini… ungekuwa una akili usingefanya hayo ya kitoto tena hasa KWA KIPINDI HIKI.. na huenda hiyo sio akili yako mwaya.. NIMEKUSAMEHE BURE maana hapo ulipo hujielewi bado.. Dramas Dramas Dramas… sizipendagi ila huwa zinanifata zenyewe.. lol!!! Mbona naandamwaga hivi jamani kwani kosa langu nini mimi mtoto wa watu… hahahahahaaaa majanga haya wemasepetu anyways sorry to my good people jamani kwa mapost ya aina hii.. sometimes inabidi coz mwisho wa siku mi ni binaadamu tu wa kawaida.”

Wema naye aliongeza kwa kuchangia: Mbona majanga….. dont waste ur tym to fools maamy…. nawe utaonekana a fool… fanya yako… wanaokufatilia wanatamani wawe kama wewe… na si kingine its called ENVY.”

“Sina hata time nae mammy bado ana vichembechembe kwenye ubongo.. maana ghafla tu anaanza kuniparamia jamani.. lol!!! Kishafulia anatafuta kick kwa kugombana na watu.. mtu wa zamani,” aliongeza Zamaradi.

Japokuwa Zamaradi hakutaja wazi nani mlengwa wa ujumbe huo, ni Ray C mwenyewe ndiye aliyejibu kwenye maelezo ndani ya post yake kwenye mtandao huo akisema:

“Hihihi kazi kwelikweli mi naweza posts zangu watu wanajihisi au wanaumia. Tatizo skuliiiii shauri yako #uki skuli kdg wala matatizo hakuna ila km huja skuliii mweeeh unakua mbulula mama we hujui fanya yako achana na watu weusi,” aliandika Ray C.

Aliongeza tena, “Haswa anajiona kichwa kumbe mbulula haswaa Hana lolote,Watu wameanza shughuli hizo anazofanya wenzie tulishazifanya kitambooooooooo,tushauza sura sanaaaaaaaaaa zaid ya miaka. 12 namuangalia simmalizi maana haeleweki.”

Haukuishia hapo, Zamaradi aliongeza tena kwa kuweka post mpya.

886c292a1c5c11e383d722000a1f99fc_7.jpg

“Nashusha sana hadhi yangu kwakweli dealing with watu wenye hasira na maisha ya watu wengine… this is not ME kabisa. Una mengi ya kutukaniwa lkn mi ni binaadamu ninaejua baya na zuri.. maisha yashakushinda wewe sasa USIPANIC.. jipange. Ushafanywa yote ya dunia ntakuweza wapi mie mtu wa zamani,” aliandika Zamaradi kwenye picha hiyo.

Ray C alijibu kwa kupost video hii:




Chanzo: Bongo 5
 

Attachments

  • ray_c.png
    ray_c.png
    119 KB · Views: 25,310
  • zamaradi.png
    zamaradi.png
    62.6 KB · Views: 25,386
Last edited by a moderator:
Ruge alimkimbia wakati anabwiya unga,JK kamtibia, sasa anamuona kifaa.Ray c hujakoma tuu kuparamia wanaume kujua mbaya ni nani na nani atakufaa ktk maisha yako?Ruge hakupeleki kokote zaidi ya ulipotoka
 
Ruge alimkimbia wakati anabwiya unga,JK kamtibia, sasa anamuona kifaa.Ray c hujakoma tuu kuparamia wanaume kujua mbaya ni nani na nani atakufaa ktk maisha yako?Ruge hakupeleki kokote zaidi ya ulipotoka

Weka account zao
 
zamarad na ray c wametupiana vjembe huko kwa instagram na mwshowe ray c akatuma video akisema'i love him'. bongo 5 members wamecoment na kumtaja ruge kuwa chanzo cha bifu. ruge kazaa na zamaradi pia kachangia kumsaidia ray c kupambna na uteja.
 
Mabig.thanks kwa info
zamarad na ray c wametupiana vjembe huko kwa instagram na mwshowe ray c akatuma video akisema'i love him'. bongo 5 members wamecoment na kumtaja ruge kuwa chanzo cha bifu. ruge kazaa na zamaradi pia kachangia kumsaidia ray c kupambna na uteja.
 
mkuu ruge ndyo jibu la maswali mnayouliza ye ndye anayegombaniwa nadhan ray c anajaribu kurudisha shukran kwa ruge kwa kumpa mwili wke now ruge akitaka hata 0713 atapewa kwa wa zamarad nadhan macho yke yote yapo kwny fedha za ruge na cyo ruge trust me
 
Wote hao ni vichwa maji tuu ni ngumu kujua nani mgonjwa nani mzima, japo kila mmoja anajaribu kuonesha yeye mzima mwenzie mgonjwa.

Wote hao ni wa kuhurumia tuu.
 
On the bright side Ruge ni mnyama aisee, ain' nothin feels good like hot chicks trippin' over u. Feels like a real Man...!!
 
Huyo zama kayataka yawe public...kwanini apost instagram na kwann asimtext rayc moja kwa moja..hovyoooo..uswahili tu
 
Uyo ruge mbovu kitambo kwani hawajitambui eti anamwita mwenzie wa zamani mbona yy mpya haolewi au kuzaa kamaliza kila kitu
 
Ruge alimkimbia wakati anabwiya unga,JK kamtibia, sasa anamuona kifaa.Ray c hujakoma tuu kuparamia wanaume kujua mbaya ni nani na nani atakufaa ktk maisha yako?Ruge hakupeleki kokote zaidi ya ulipotoka
duuu!!! umeona halafu huyu jamaa ruge sijui ana nini, ukimsikiliza sana kama mzushi fulani , hivi ni kwa nini anapenda kudandia treni kwa mbele ?(fursa=uzushi jamaa zake mpoto wazushi tu eti unamfundisha mtu kufikiri si ni wehu huu wafundishe pia ku do . afadhali hata rage aliwahi kuchukua vijana tabora na kuwapeleka katika mashamba ya miwa huko bukoba kuliko huyu anataka kuibia watu kwa kuwa hawajui ionekane ni yeye . mind you average people's believe you need money to make money, rich people use other people"s money to make money ...... huyu ndiyo RUGE
 
let them fight,
Bingwa anawaza FURSA.....!!! 542208_624261357613975_1359986702_n.jpg
 
Ruge alimkimbia wakati anabwiya unga,JK kamtibia, sasa anamuona kifaa.Ray c hujakoma tuu kuparamia wanaume kujua mbaya ni nani na nani atakufaa ktk maisha yako?Ruge hakupeleki kokote zaidi ya ulipotoka
so mr 'Just Kidding' ndo mzuri????
 
Back
Top Bottom