Zamaradi Mketema na Ray C warushiana maneno Instagram kisa ni penzi la Ruge!

Zamaradi Mketema na Ray C warushiana maneno Instagram kisa ni penzi la Ruge!

Lakini Ray C simshangai namjua tangu yupo FK,anapenda kujilengesha kwa wanaume wanamchezea wakimuacha anaanza kudata,alijilengesha kwa mwisho akimtaka mwanaume atatumia kila njia ampate
 
katika hali ya kushangaza zamarad na ray c wamerushiana maneno makali na yamatusi chanzo ikiwa ni ruge wa clouds.hivi ray c ameshamaliza dozi yake kweli?mimi naona wanajishushia hadhi yao waache.
Cc Nyani ngabu.
source instalgram.

Mengine yaacheni huko huko, ili huku watu washughulikie mambo mengine ya kitaifa,
 
Moderator au Invisible, uzi huu umejirudia, kuna mwingine wa namna hii upo kule celebrities forum, mnaonaje mkaunganisha ili kupunguza duplicate threads?
 
Last edited by a moderator:
katika hali ya kushangaza zamarad na ray c wamerushiana maneno makali na yamatusi chanzo ikiwa ni ruge wa clouds.hivi ray c ameshamaliza dozi yake kweli?mimi naona wanajishushia hadhi yao waache.
Cc Nyani ngabu.
source instalgram.

dah gari limetoka gereji linakuja kwa spidi kweli....
 
Wakuu mbona hakuna sehemu inayoonesha Zamaradi amemtaja Ruge??!naona ni Ray C tu ndio analia lia,huyo teja nae mara hii ameshaanza kuparamia wanaume,ngoja uludi ulipotoka wakipitisha bakuli hatumchangii

Na Wewe ni mmojawapo wa waliomchangia?! Na kama ulimchangia ni kiasi kipi ulichangia ili Dada apatiwe matibabu.
 
thanks 4 info kaka, ila me wote nawaona mbulula kwani huyo ruge angekua anmpenda mmoja wao kwa dhati angesha funga ndoa na mmoja wao, acha wapigwe mashne mpaka wachakae then atageukia THT
 
So what? Whata is so special?
Hadi hawa vijana waende chuo kazi tunayo!
 
Mengine yaacheni huko huko, ili huku watu washughulikie mambo mengine ya kitaifa,

Kafungue forum yako iwe ya taifa, humu lini uliambiwa eti ya taifa forum hii? Kama hautaki kusoma haya upotelezee hakuna haja ya kukomenti lisilo na maana.
 
Let's talk about issues and not "persons". This is what consists of "the home of great thinkers"
 
====================
Ukipata Ujumbe wa chuki matusi futa delete kabisa.
====================
 
Kafungue forum yako iwe ya taifa, humu lini uliambiwa eti ya taifa forum hii? Kama hautaki kusoma haya upotelezee hakuna haja ya kukomenti lisilo na maana.

Jamani mzuri weye mbona unataka kutoa povu bure wakati we ni mzuri, mbona kuna thread za kutosha kuhusu huu uzi kwa celebo forum humu humu JF. Ilikuwa ushauri tu japo nyie vijan dot com hamshauriki kabisa.
 
Zamaradi nacho kinajiona cha mjiniiiii kumbe mavi tupu.aikate naniliu ya ruge aiweke kwa pochi yake awe anatembea nayo
 
Back
Top Bottom