Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
katika hali ya kushangaza zamarad na ray c wamerushiana maneno makali na yamatusi chanzo ikiwa ni ruge wa clouds.hivi ray c ameshamaliza dozi yake kweli?mimi naona wanajishushia hadhi yao waache.
Cc Nyani ngabu.
source instalgram.
Mkuu samahani, ndio wakina nani hao na wanahusika na nini.??

Wakuu mbona hakuna sehemu inayoonesha Zamaradi amemtaja Ruge??!naona ni Ray C tu ndio analia lia,huyo teja nae mara hii ameshaanza kuparamia wanaume,ngoja uludi ulipotoka wakipitisha bakuli hatumchangii
Napita tuh
Mengine yaacheni huko huko, ili huku watu washughulikie mambo mengine ya kitaifa,
zamaradi ni mtangazi wa clouds tv an radio,
ray c ni msanii wa mziki,
ruge ni bosi pale clouds.
Wanakyaya wa kwaya ya chama cha ushirika kijiji cha ujamaa Tamaa Mbele
Kafungue forum yako iwe ya taifa, humu lini uliambiwa eti ya taifa forum hii? Kama hautaki kusoma haya upotelezee hakuna haja ya kukomenti lisilo na maana.
Mkuu samahani, ndio wakina nani hao na wanahusika na nini.??