Zamaradi Mketema na Ray C warushiana maneno Instagram kisa ni penzi la Ruge!

Let's talk about issues and not "persons". This is what consists of "the home of great thinkers"

Celebrities are persons,not issues. Kuna majukwaa mengine kule ya issues,kuna mambo mengi yanapaswa kujadiliwa,so usipoteze muda hapa.
 
kazamaradi kako kishari shari sana
hope hii haitakuwa kati ya episode za tekiwaaaaan akshen
 

unamjua Ruge? huyo binti hajaamua tu kufuta!
 
Celebrities are persons,not issues. Kuna majukwaa mengine kule ya issues,kuna mambo mengi yanapaswa kujadiliwa,so usipoteze muda hapa.
Only mediocre minds will call PERSONS, ISSUES. Wait a minute, who is a celeb among the mentioned TWO? Obviously NONE and if any according to you then revise your understanding on Celebrities!!!!!
 
Wewe unadhani hawajuhi...udaku wako bias kuna watu hawaandikwi ng'o....washikaji na wenye power kama kina Mengi hawaguswi hata wawe na kashfa gani...

na mie naliona hili kwakweli..........wapo tu kuwaandika wakina fulani........wengine wala.......
 
Hongera Ray C kwa kutambua fursa ambayo ni Ruge,sasa naona somo la fursa linaeleweka.....

hahaaaa nicheke mie.......naona kila ka mkoa wanakotembelea na fiesta wanatoa fursa........

wakazi wa mikoani wawe makin tu.....
 
Kiukweli huyo Ruge kama anangoma bas atawamaliza wengi, maana Jay dee, Linah, Recho, tatz dada zetu wanapenda sna mteremko
 
You haerd ya Soud Brown isiwe bias.
Impigie ruge na kumhoji ka alishawahi ku-kwinchikwinchi na hao wawili.
pia atoe ufafanuzi wa mtoto wa Zamaradi ni wa nani.
 
ha haaa pacha umeniacha hoi etiii "mali ya umma"

Mali ya umma hiyo pacha haina mwenyewe....sasa huyo zamarad anafyatuka kama kanywa libeneke!!!!Atulie tuli dawa imuingie na atazid kukauka kama kalamba cement
DEMBA
 
Last edited by a moderator:
Nimeamini hapendwi mtu....

Kaka yangu na miye hapo ana sura nzito; mfupi lakini watu wana fight

Ila hawa watu wa mambo ya entertainment na viongozi wao wote maboya hivi haya magonjwa hawayaogopi? Maana wanavyochanyana hadi aibu, yani akifa mmoja hofu na mashaka vichwani mwao
 
ha ha ha nashangaa, kama angekuwa anampenda si angejituliza. kama kaenda kwa ray c ataenda hata kwa wanawake wengine zama atagombana na wangapi

Bwana mwenyewe wanayemgombania si ni mume wa mtu??tena bwana mwenyewe chupi mkononi, kizamaradi na kile kidomo kama kunguru vile
 
Ukiwa teja kwani mpaka papuchi inalewa????Aparamie wanaume kwani Ruge kamjua jana?
Ray c anamfahamu Ruge siku nying kipind hicho Zamaradi anavaa satini......atulie huyo Ruge ni mali ya Umma kama hajui bas ndo ajue!!!!!

....tehe...tehe....tehe...tehe..... kweli huyu jamaa kwa fursa chiboko....

Hata lile joka (sio joka chatu wa tarangire........joka lile la kule amazon forest) na ukali wake wote jamaa alilituliza.....akamsikia binamu yake Mpoki anasemasema eti joka halina kiuno cha kuvaa shanga akaamua kutafuta kiuno bila mfupa kudadeki.............

Sema sasa hivi joka lina joto hasira ya ku strangle mtu.....
 
Niliwahi kutana nae kwenye michezo ya watoto somewhere akiwa na watoto wawili nadhani ni wake maana ni carbon copy. wanaume wengine wakiwa na vijisenti basi wao wanakuwa 'married single'....kila mwanamke anataka ampitie...tuwasubilie tu atakapodondoka mmoja ndo watajua maana ya 'tuko wangapi?'
Bwana mwenyewe wanayemgombania si ni mume wa mtu??tena bwana mwenyewe chupi mkononi, kizamaradi na kile kidomo kama kunguru vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…