Zamaradi Mketema na Ruge Mutahaba waanika mahusiano yao ya kimahaba

Zamaradi Mketema na Ruge Mutahaba waanika mahusiano yao ya kimahaba

Wanawake sio watu wa kuwaamini 100%.

Juzi tu walikua pamoja, haijapita hata mwaka huyo mwanamke akaolewa na mwanaume mwingine. Hatari sana.
 
Hivi huyu ndio hule Zamaradi wa BBC Swahili?
 
kwahiyo boss aruhusiwi kumpenda mtu aliyechini yake??wabongo bhana ......kwahiyo ulitaka ampende nani akupende wewe kisa sio bosi wake, hivyo vitu ni personal angekuwa ameiba mke wa mtu mngesemaje sasa si mngeongea hadi basi??
Hallo at your boy!
 
Siku ya niliyokutana na huyu face to face nilistuka sana.Make up si mchezo zinaficha mengi
 
Back
Top Bottom