alianza kwa Wema na Wolper mpaka yakaibuka ya Jokate na Diamond alafu kama hausiki vile anavyojiweka pembeni!!
alaf hawa nao kwanini wanakubali kuchonganishwa
Zamardi hakuna kitu kabisaaaaaaaaa! Anapenda kuwauliza watu maswali ya kuchonoa wenzao ili waropoke afu anawaita waliotuhumiwa waropoke nao! Afu roho yake ndo inarizika. Juzi juzi kaleta beef kati ya Sintah na Shilole kwenye ishu ya kipuuzi!
Kipindi chake ushambenga shambenga hakuna hata kinachochangia kwenye jamii! GO BACK TO SCHOOL ZAMA TO LEARN JOURNALISM ETHICS AND VALUES!!!!!!!!!!
Juzi kawapambanisha SINTAH na SHILOLE kwa ishu ya upuuzi! Media zitumike kwa mbambo ya msingi!
Na sura yake ilivyo sasa,siipendi clouds na watangazaji wote
Zamardi hakuna kitu kabisaaaaaaaaa! Anapenda kuwauliza watu maswali ya kuchonoa wenzao ili waropoke afu anawaita waliotuhumiwa waropoke nao! Afu roho yake ndo inarizika. Juzi juzi kaleta beef kati ya Sintah na Shilole kwenye ishu ya kipuuzi!
Kipindi chake ushambenga shambenga hakuna hata kinachochangia kwenye jamii! GO BACK TO SCHOOL ZAMA TO LEARN JOURNALISM ETHICS AND VALUES!!!!!!!!!!
Juzi kawapambanisha SINTAH na SHILOLE kwa ishu ya upuuzi! Media zitumike kwa mbambo ya msingi!
Wenyewe wasanii wanapenda kugombanishwa ili wapate coverage ya vyombo vya habari so anachofanya kina faida kwa kipindi chake kwa kupata mashabiki na wadhamini na kina faida kwa wasanii pia kwa kuwafanya waendelee kumiliki headlines, kwa kifupi zamaradi na wasanii wake wanajuana
Mbona Salama anawapa airtime ya kutosha kabisaa ila haleti ugomvi wowote na kipindi chake kina heshima yake mpaka politicians wanaenda! Ila Zama hamna kitu! Beef maybe ilitakiwa iwe strategy ya kumtoa ila kuikomalia ni KUKOSA UBUNIFU!
Zamaradi ndo nani.. msanii wa bongo movie?