Zamaradi Mketema ni Mnafiki na Mchochezi Anaanzisha Ma Beef Kati ya Wasanii Kujipandisha Chati!

Jamani daDA lara1 HAPO kidogo napingana na wewe,why....ni kwamba ZAMA akisikia hao wasanii wamerushiana vijembe huko kwingine iwe kwenye magazeti ama mtaai ndo nae anawaita ili kuwasikia live kwamba kulikoni....halafu mbona kawaida sana hata mambele mambo hayo yapo na ndo yanayopendwaa na rik la kazi halafu ndo business!....
my take!kwa asiyeipenda Clouds narudia tena kwa mara ya 50 usitune tu sikiliza wapo radio au tumaini why bothering?

kwahiyo unataka watu waige tuuu mambo ambayo hufanywa huko.
Em anza kuiga usodoma na Gomola.
 
Mo nampenda venye alivo... Nimemjua toka tukiwa tunafanya audition za c2c that time mwaka 2007... Kipindi chake ni kizuri na io ndo strategy yake.. So shut the ---- up... Kuna tatizo kwani????? Hakuna aliyekulazimisha kutizama take one..

nadhan we ni ndondocha wa zamaradi...........
 
Afu nimegundua clouds in wasikilizaji wengi sana Tz...including wasioipenda.

Mimi si tune redio nyingine ni Clouds mwanzo mwisho,

Napenda aina ya utangazaji wao...hawako serious ki vile...ni kama chit chat.

Asubuhi nawasikiliza kina Gerald,...jioni nasikiliza amplify na michezo, hasa yule jamaa anaeyjiita Mbwiga...

Nadhani hata hao wanao discuss negatively wanaipenda maana wana tune in....mbona hawaongelei redio Imam sijuhi...nini ile inayokshfu dini za watu; kwa kuwa hawaipendi hawaisikilizi...clouds mnaipenda ila mnajitahidi kuwa wabishi

Jamani daDA lara1 HAPO kidogo napingana na wewe,why....ni kwamba ZAMA akisikia hao wasanii wamerushiana vijembe huko kwingine iwe kwenye magazeti ama mtaai ndo nae anawaita ili kuwasikia live kwamba kulikoni....halafu mbona kawaida sana hata mambele mambo hayo yapo na ndo yanayopendwaa na rik la kazi halafu ndo business!....
my take!kwa asiyeipenda Clouds narudia tena kwa mara ya 50 usitune tu sikiliza wapo radio au tumaini why bothering?
 
Amejisahau alikotoka tangu c2c.leo kapata ------ yanalia mbwata
 
Kuna redio kama East Africa...kuna jamaa ikifika jioni anaongea peke yake; ni kama hajui kiswahili hivi...yuko so boring; nikikuta imewashwa nazima maana simuelewi anaongeaga vitu gani.
 
ahahaaa dah mi nasikiliza tu radio maria kwa kweli..nataka kuwa sister
Afu nimegundua clouds in wasikilizaji wengi sana Tz...including wasioipenda.

Mimi si tune redio nyingine ni Clouds mwanzo mwisho,

Napenda aina ya utangazaji wao...hawako serious ki vile...ni kama chit chat.

Asubuhi nawasikiliza kina Gerald,...jioni nasikiliza amplify na michezo, hasa yule jamaa anaeyjiita Mbwiga...

Nadhani hata hao wanao discuss negatively wanaipenda maana wana tune in....mbona hawaongelei redio Imam sijuhi...mimi
 
Back
Top Bottom