Lord Diplock MR
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,393
- 3,237
Kama wanagawana mapato sawa...lkn kama wanamlipa mshahara...basi ni muajiriwaAs long as analipwa na hao kwa kuwafanyia kazi ya kuprovaidi kontent basi technically kaajiriwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakimwambia leo basi hatuhitaji kazi zako atafanyaje?Kama wanagawana mapato sawa...lkn kama wanamlipa mshahara...basi ni muajiriwa
Nadhani ndio utakuwa mwisho wakeWakimwambia leo basi hatuhitaji kazi zako atafanyaje?
As long as analipwa na hao kwa kuwafanyia kazi ya kuprovaidi kontent basi technically kaajiriwa
Sent using Jamii Forums mobile app
kweli umri huo hajui tafsiri ya kuajiriwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] au kilichomo kwenye video ni tofauti na heading
Kama kanunua airtime, katafuta wadhamini wa kipindi chake na kuajiri watu wa kukirusha kipindi chake hapo vipi!Kama wanagawana mapato sawa...lkn kama wanamlipa mshahara...basi ni muajiriwa
Hiyo haimpi haki ya umiliki (ownership) unless naye ana share nyingi....but all in all pia inadepend na mikataba yao inasemaje juu ya umiliki wake .....hiyo tvKama kanunua airtime, katafuta wadhamini wa kipindi chake na kuajiri watu wa kukirusha kipindi chake hapo vipi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi sijasema ni ownership, bali hapo kajiajiri au kaajiriwa?Hiyo haimpi haki ya umiliki (ownership) unless naye ana share nyingi....but all in all pia inadepend na mikataba yao inasemaje juu ya umiliki wake .....hiyo tv
Kama wanagawana mapato sawa...lkn kama wanamlipa mshahara...basi ni muajiriwa
Ok yupo under contract kati yake na wamiliki wa TV....hiyo haimpi haki ya umiliki...wa tv...anamiliki kipindi chake tu.... mkataba ukiisha wana renegotiate....kama aendelee ama asepeMi sijasema ni ownership, bali hapo kajiajiri au kaajiriwa?
Sahihi kabisa.....service provider, subcontractor, huwa hayupo kwenye payroll.. yeye analipwa kutokana na kazi anayofanya... huwezi kumuita muajiriwa...