Zamaradi Mketema: Sitaki kuajiriwa tena, WASAFI ni partners wangu

Zamaradi Mketema: Sitaki kuajiriwa tena, WASAFI ni partners wangu

Lord Diplock MR

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2015
Posts
1,393
Reaction score
3,237
Mama watatu na mtangazaji mashuhuri wa kipindi vya mahojiano Zamaradi Mketema amesema hana mpango wa kuajiriwa kwa sasa.
Akielezea uhusiano uliopo kati yake na WASAFI amesema yeye na WASAFI ni partners kwani yeye ni content provider wao.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
As long as analipwa na hao kwa kuwafanyia kazi ya kuprovaidi kontent basi technically kaajiriwa

Sent using Jamii Forums mobile app
kweli umri huo hajui tafsiri ya kuajiriwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] au kilichomo kwenye video ni tofauti na heading
Kama wanagawana mapato sawa...lkn kama wanamlipa mshahara...basi ni muajiriwa
Kama kanunua airtime, katafuta wadhamini wa kipindi chake na kuajiri watu wa kukirusha kipindi chake hapo vipi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom