Zamaradi: Niacheni na mishentown wangu

Midekoo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2015
Posts
45,757
Reaction score
246,786
😳


Wakati huo huo Soudy brown afuta ubuyu alioumwaga kuhusu mume wa Zamaradi aliyemuoa kwa kuhofia kibarua chake kuota nyasi. Wakat Zamaradi anaamin Soudy katumwa.




Mange kasemaaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ tulinganishe Sasa story

 
Jaman kwa hiyo kauli ya mwisho apo chini Sunday anataka kutuambia kwamba alichokipata ni ukweli ila hawez kuuweka hapa.

Kazi imemshinda wala hana cha zaidi asijitetee
 
Shilawadu kwa jinsi walivyoandika apo chini ina maana ubuyu walioupata may be ni wa kweli ila wanalinda vibarua.

Huu ni ujinga wa mwisho kbs. Hivi kwa kauli zao wanataka watuaminishe kwamba wanayajua ya kweli ya kila mtu?
ila bashite ni noma nimemkubali.zama katolewa kafara tu hapo
 
Jaman kwa hiyo kauli ya mwisho apo chini Sunday anataka kutuambia kwamba alichokipata ni ukweli ila hawez kuuweka hapa.

Kazi imemshinda wala hana cha zaidi asijitetee
Waliumwaga wemefuta
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Bashite atabaki kuwa Bashite tu.
Mission Town akabananishwa akafunguka kuwa hajawahi kufanya jambo lolote la Kikubwa (KwichiKwichi) na Dada Z, uuuuuphhh ngoja nipumue kwanza (Afadhali) basi akaonywa achana na mke wangu mtarajiwa
.
Wapendanao Z na R waleeee wakasepa zao na kusameheana
.
Lakini Ndugu wa Z bado waliendelea kusimamia msimamo wao kuwa hakuna ndoa Kati ya Z na R bila R kubadili Dinii
.
Karibu miezi miwili iliyopita wapendanao wakampa ushindi wa K.O Bwana Jini Mkata Kamba Yani Wakakubali Matokeo kuwa hapa hakuna cha Ndoa wala kivuli cha Ndoa
.
Ingawa kishingo Upande na Hakuna jinsi Wakakubaliana kuwa Kila mtu aendelee na Maisha yake Ila Cha Msingi ni Malezi na Matunzo ya Batoto Bawili
.
Dada Zamaradi sasa hapo kumbuka Tayari Pesa anayo Mtaji Anao, Magari anayo kila kitu anacho, Yani Yeye Stress yake Moja tu, Ambayo ni nini? "Kuolewa" haijalishi anaolewa na Nani .
Matokeo yake Ndo Juzi usiku chereko chereko, Ayya Ya yaa kuolewa ntarudi nyumbani kuolewaaa
.
Nakurudisha Nyuma kidunchu Kabla ya Tukio la Ndoa
Mission Town akawa anatafuta pesa za kufungia Hii ndoa ya Juzi ambayo kabla yake walipanga ifanyike MWEZI wa kumi na moja mwishoni (Nitakuambia kwanini imefanyika Ijumaa Ghafla) Mission Town Kiiiila akijichekecha pesa aliyonayo Pamoja na michango kutoka kwa Ndugu na jamaa zake haifikii hata robo ya Budget waliyokua wameipanga, Mission town wenzake wakamshauri Eti kwa kuwa Z inafahamika ni wa R basi amtafute mkuu wa Mji "Bashhhhhhhhh" Bashiteeeeeeeee
.
Na kweli bila Zamaradi kujua Yani kwa Usiri mkubwa Bwana Misson Town akaanza kumsaka Bashiiiiite kwa kutumia watu wa karibu na Bashite ikamchukua Masaa machache sana kukutana nae hasa Ukizingatia Issue yenyewe inamhusu Nani
.
Kikao chao kilifanyika nyumbani kwa Bashite kwasababu ndo sehem swalama zaidi, Unaambiwa Siku hiyo Bashite alikua anachekelea Balaaa kwa kwa kwa kwa kwaaa Kwanza akamuuliza mission Town "Zamaradi anajua kama tumekutana" Mission Town akajibu "Hapana" ebanaeee Akakumbatiwa na Bashite kwa Dakika mbiliiii huku Chozi la Furaha linamtiririka Bashite .
Mission Town akaambiwa na Bashite, Haya sasa Sema nini unataka? Jamaa akamjibu akamwambia tumepanga kufunga ndoa mwisho wa mwezi wa kumi na moja 2017
 
Mission Town akabananishwa akafunguka kuwa hajawahi kufanya jambo lolote la Kikubwa (KwichiKwichi) na Dada Z, uuuuuphhh ngoja nipumue kwanza (Afadhali) basi akaonywa achana na mke wangu mtarajiwa
Hahahaaaa mjini kuna mambo
 
Miss mliizia basi
 
Miss mliizia basi
Mission Town akaambiwa na Bashite, Haya sasa Sema nini unataka? Jamaa akamjibu akamwambia tumepanga kufunga ndoa mwisho wa mwezi wa kumi na moja 2017 na budget nayotakiwa kuitoa ni milioni 65, binafsi Sina hata theluthiiiii, Bashite akacheka ho ho ho ho pesa ndogo sana hyo, mm nitatoa hata milioni 100, Mission Town akapigwa na Bumbuwazi la furahaaa, sasa wakati anachekelea Bashite akasema "Nitatoa hiyo hela kwa Sharti Moja tu" ehe "Nataka Sherehe ziwe mbili, hyo ya mwezi wa kumi na moja ifanyike, Ila Ndoa nataka ifungwe wiki hii Ijumaa siku ambayo Ruge Anafanya Fiesta yake Tabora kwanza itavuruga promo ya fiesta na tutengeneze propaganda Kama Ruge kachezea shilingi chooni, na tutatumia Baadhi ya Page za watu wetu mtandaoni kusambaza Taarifa Hizi, Safari Hii hata Yule Dada wa Marekani atam'bamiza Ruge shabashhhh" Mission Town akashtuka moyoni Waaaaaaaaat? Bashite akaanza kutumia kofia yake ya Ufalume na Amri zake utasema yupo kwenye Semina za udhalilishaji za "Mji Mpya" zile Mara anaamrisha mzee flani afungwe, Bashite akamwambia Bwana Mission Town, Nataka Ndoa ifanyike ijumaa Hii hapo hapo Bashite akashika simu na kumpigia simu Tajiri mmoja alete milioni 25, Baada ya Dakika kama 50 Naaaa Mzigo ukaletwa kwenye mifuko ya Rambo, Mission Town akaaambiwa Haya Chukua hii na Usimwambie mtu yeyote kama mm nipo nyuma ya tukio hili, na ukikamilisha Kazi Hii Nakupa Pesa nyingine kwa ajili ya Sherehe kubwa ya MWEZI wa 11 tumwaibishe Ruge
.
Basi Mission Town Vuup akatoka mkuku Hadi kwa Zamaradi na kujifanya Ana Kiu ya kuhalalisha mahusiano yao eti Wafunge Ndoa Fasta kwasababu ni jambo jema huku akinukuu Maneno ya vitabu vya Dini, Kwa kuwa Zama alikua na Kiu cha Kuolewa Mara Paaaap Wakapita huku wakapita kulee Mpaka kwa Kaka wa Zamaradi Mara Paaap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…