Zamaradi: Niacheni na mishentown wangu

Zamaradi: Niacheni na mishentown wangu

Huyu Mange ndo anazidi kumuharbia Zamaradi kwanza inaonekana Zamaradi ndio aliemrekodi Boss Ruge, sizani kama hii ni sahihi ukifkria kwamba wale ni wazazi, mulio karbu na Mange mwambieni pale anaiharbu familia wala hamdharirishi Ruge.. Alafu mambo ya ndani kurecordiana ndo nn.. Alafu bado mnamuita Zamaradi yupo smart upstairs kweli unamrekodi mzazi mwenzako alafu unarusha mitandaoni, hv watoto wakikua wakiona ile hali baba yao analia hadharani itakuaje...
Ndo maisha ya kileo,muhim kuwa makini sana,hii si kwa wapenzi tu hata watu wa kawaida,kurekodi,taking skinShot
 
Watanzania tunapoelekea ni wapi? Maana ktk uchunguzi wangu utaona mtu anamkandia mwenzake kwenye ukurasa wake wa insta sasa pata bahati umuone mwenyewe sasa utamkimbia , unamuita mtu misheni town maana yake nn ili umdhalilishe, hebu niulize una mke ana mabwana kumi lakini kwa kuwa ana hela wewe mwanamme unavumilia inawezekana kweli hutaki kumuacha kwa kuwa ana hela, sisi pia ni mission town lakini tuna maisha mazuri kuliko hao wanaofanya kazi maofisini tusidharauliane jamani
Umeongea la maana sana! Watu wanadhani pesa pekee ndizo ziizokua zinamuweka Zama kwa Rughe sasa amewaachia walimwengu wanalipuka kwa kumuita mumewe Mission Town ,Zama kafata kilichomvutia kwa Shaban kwake yeye kidogo chenye heshima ni bora kuliko kikubwa cha dharau kujaziwa wanawake wa THT alishachoka
 
Huyu Mange ndo anazidi kumuharbia Zamaradi kwanza inaonekana Zamaradi ndio aliemrekodi Boss Ruge, sizani kama hii ni sahihi ukifkria kwamba wale ni wazazi, mulio karbu na Mange mwambieni pale anaiharbu familia wala hamdharirishi Ruge.. Alafu mambo ya ndani kurecordiana ndo nn.. Alafu bado mnamuita Zamaradi yupo smart upstairs kweli unamrekodi mzazi mwenzako alafu unarusha mitandaoni, hv watoto wakikua wakiona ile hali baba yao analia hadharani itakuaje...
Watoto wakikua na wakiambiwa baba yao alimzalisha mama yao na akawa anasita sita kumhalisha yaani kufunga nae pingu za maisha watamheshimu sana baba yao.

Watoto wakikua na wakiambiwa mama yao keshawahi ingia mgogoro na dada mmoja mtumia madawa ya kulevya na inasemekana KAWAKA kisa baba yao watamhsehimu sana baba yao JEMBE.
Alafu Ruge hajalia hadharani..........
 
Nyinyi si ndo mmesema zama. Yupo smart upstairs, nazani kama mlimaanisha yupo smart kichwani basi kwa alichofanya huo usmart kichwani hana, maswala ya shilawadu wale ile ni kazi yao, walipokaa kimya na kupotezea hii habari sisi ndo tulipiga kelele kutaka kupata ubuyu...
Haaaaaa team mawingu mna kazi sana
 
Mwanaume mzima mwenye mbupu zako umekazana Mara ubuyu sijui tunanyapia hivi karibuni kutakuwa hakuna tofauti kati ya mwanaume na mwanamke
 
Haaaaaa team mawingu mna kazi sana
Yani kutoa mawazo tofauti na yako unaniita Team mawingu, na wew mbona umetoa mawazo tofauti na mm.. Kwa hyo na wew ni team Zamaradi au, usipende kila mtu awe na mtazamo kama wako..
 
Back
Top Bottom