Zamaradi: Niacheni na mishentown wangu

Zamaradi: Niacheni na mishentown wangu

Ukweli ni kwamba,Mwanaume(asiye na future na mwanamke) anapokuwa na mwanamke anayetaka kuolewa,hawa ni watu wawili tofauti,mwanaume ataangalia jinsi gani atasuuza kiu yake ya matamanio,mwananke atasuuza kiu yake ya matamanio pia ila huku akiwaza lini anavishwa pete ya uchumba,kwa hiyo kila unalomfanyia atajalibu kulihusisha na nini hatima yake kwenye kuvikwa pete kwake,jee linamuafaka mzuri wa mahusiano yao siku kidogo za mbeleni? Akiona hayaendani na wao kuwa wamoja ki ndoa,hapo mwanamke atatfuta hata ''mzibua mtaro'' ili tuu atimize azma yake
Sasa hapa mtamlaumu misheni town wa watu,mtamlaumu makonda wa watu mnachuma dhambi tuu,Zamaradi Alishaona Ruge hana future na yeye! msifikiri ukiwa na pesa kila demu ataziabudu pesa zako au utafanya lolote tu kwa kuwa una pesa,huo ni uongo tena uongo mkubwa wapo mademu hawahusudu pesa hata kidogo wanachojali ni jinsi gani future yake,kokote anakohisi ndoto yake itatimia,atakwenda!
sawa quinine
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji6] [emoji6]
 
Kwenye maelezo nimeona ETI ZAMARADI hakuwahi fanya chochote na bwana MESHION TOWN...huo ni uongo mkubwa..labda ZAMARADI alitaka kulinda status yake asionekane ALIKUWA MSALITI...maisha ya siku hizi hata huyo MWANAMKE hakubali NDOA mpaka UMGEGEDE kwanza,,,ajiridhishe na UANAUME WAKO KWNZ,,,hakuna ndoa bila kuonjana kwanza.. Kuna wengi waliolewa bila kuonjwa mwisho wa siku kelele na malalamiko yanaanza mara MUME KIBAMIA,,mara mume kumbe hawezi kazi, ,mume ni shoga...mwishowe lawama zinaangukia kwa mke....kwann uolewe na mwanaume humjuwi?Na hilo ndy swali la msingi analoulizwa mwanamke na wazee wake,,,baada ya kupokea posa.. JE HUYU MWANAUME UNAMJUWA? ukijibu ndyo maana yake washajuwa hawa ni wapenzi na wanajuana....na akisema SIMJUWI..ndy hapo watakapotaka kujiridhisha kwnza ni mwanaume wa aina gn? So mm napinga kwmba zamaradi hakuwahi kugegedwa na huyo JAMAA kabla ya ndoa....ajitetee vingine na sio kutudanganya MIDUME NA MIDEVU YETU..kwenye usaliti hili HAKWEPI.....alikuwa msaliti
 
Mission Town akaambiwa na Bashite, Haya sasa Sema nini unataka? Jamaa akamjibu akamwambia tumepanga kufunga ndoa mwisho wa mwezi wa kumi na moja 2017 na budget nayotakiwa kuitoa ni milioni 65, binafsi Sina hata theluthiiiii, Bashite akacheka ho ho ho ho pesa ndogo sana hyo, mm nitatoa hata milioni 100, Mission Town akapigwa na Bumbuwazi la furahaaa, sasa wakati anachekelea Bashite akasema "Nitatoa hiyo hela kwa Sharti Moja tu" ehe "Nataka Sherehe ziwe mbili, hyo ya mwezi wa kumi na moja ifanyike, Ila Ndoa nataka ifungwe wiki hii Ijumaa siku ambayo Ruge Anafanya Fiesta yake Tabora kwanza itavuruga promo ya fiesta na tutengeneze propaganda Kama Ruge kachezea shilingi chooni, na tutatumia Baadhi ya Page za watu wetu mtandaoni kusambaza Taarifa Hizi, Safari Hii hata Yule Dada wa Marekani atam'bamiza Ruge shabashhhh" Mission Town akashtuka moyoni Waaaaaaaaat? Bashite akaanza kutumia kofia yake ya Ufalume na Amri zake utasema yupo kwenye Semina za udhalilishaji za "Mji Mpya" zile Mara anaamrisha mzee flani afungwe, Bashite akamwambia Bwana Mission Town, Nataka Ndoa ifanyike ijumaa Hii hapo hapo Bashite akashika simu na kumpigia simu Tajiri mmoja alete milioni 25, Baada ya Dakika kama 50 Naaaa Mzigo ukaletwa kwenye mifuko ya Rambo, Mission Town akaaambiwa Haya Chukua hii na Usimwambie mtu yeyote kama mm nipo nyuma ya tukio hili, na ukikamilisha Kazi Hii Nakupa Pesa nyingine kwa ajili ya Sherehe kubwa ya MWEZI wa 11 tumwaibishe Ruge
.
Basi Mission Town Vuup akatoka mkuku Hadi kwa Zamaradi na kujifanya Ana Kiu ya kuhalalisha mahusiano yao eti Wafunge Ndoa Fasta kwasababu ni jambo jema huku akinukuu Maneno ya vitabu vya Dini, Kwa kuwa Zama alikua na Kiu cha Kuolewa Mara Paaaap Wakapita huku wakapita kulee Mpaka kwa Kaka wa Zamaradi Mara Paaap
Huu ni uwongo hata kama mnanchukia Makonda hawezi kufanya huu ujinga , eti akupe Milion Mia bila kuifanyia kazi??? Kisa kumkomoa mtu??? Hii ni most Expensive tea wengi sana utawanywesha japo ni ghali na wengi watainunua
 
Sidhani hata kama anaweza kukanyaga pale kwa hali ilivyo.Kwanza mlinzi gani atamfungulia geti huyo mlinzi hajipendi??
Ruge ni mtu anaetumia akili na kulinda biashara zake siziingie doa, hapo clouds hatamfukufa labla atamhamisha kwenye studio nyingine akakae na kina Idris.... Ila siyo kumfukuza kazi

Akimfukuza kazi itakuwa katumia mamlaka yake vibaya na atajishushia heshima na pengine makampuni ya udhamini yakajitoa kufanya kazi ya clouds.....

Ruge hapo lazma acheze kama Pele...
 
Mjini kutamu sana mara paap miaka 90 hiyo bado unafatilia umbea
Haaa haaa....binafsi kuanzia Leo najiondoa mitandaoni...

Mara paap 60 hiyo inagonga niko Insta[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Haaa haaa....binafsi kuanzia Leo najiondoa mitandaoni...

Mara paap 60 hiyo inagonga niko Insta[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umbea mtamuu usikuhusu Lkn
 
ais wa Jamhuri anasemaje kuhusu ili?
 
nimecheka..eti feza kesi alivalishwa pete mbele ya sanam st peters, fina mango alipelekwa hadi kwenye makaburi ya ukoo! haa haaa Mange sio mzima walahi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mange mjinga jamani, awe anafikiria damage za wengine hahah ye anatapika yote
 
It's true mwache ni binti wa watu aendelee na maisha yake
 
Back
Top Bottom