Zamaradi: Niacheni na mishentown wangu

Zamaradi: Niacheni na mishentown wangu

Wewe hivi unadhani kujiita Miss natafuta kwenye mtandao VPN code zako hujulikana, Ni vizuri ukaheshimu mamlaka kuu, usiite bashite huku unaishi mbezi Beach tena mlinzi wako ni maombi yako ya dini be carefull, Hii ni nchi hakuna siri kwa usalama wa taifa, Wewe na ukoo wako ni sehemu tu ya watu milioni 45 ,Take care andika ukweli story za kutunga zitakucost sana
Qumamako wewe na usalama.
 
nimecheka..eti feza kesi alivalishwa pete mbele ya sanam st peters, fina mango alipelekwa hadi kwenye makaburi ya ukoo! haa haaa Mange sio mzima walahi
Yaani mange looohh[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] nimemgawaaa
 
Huyu Mange ndo anazidi kumuharbia Zamaradi kwanza inaonekana Zamaradi ndio aliemrekodi Boss Ruge, sizani kama hii ni sahihi ukifkria kwamba wale ni wazazi, mulio karbu na Mange mwambieni pale anaiharbu familia wala hamdharirishi Ruge.. Alafu mambo ya ndani kurecordiana ndo nn.. Alafu bado mnamuita Zamaradi yupo smart upstairs kweli unamrekodi mzazi mwenzako alafu unarusha mitandaoni, hv watoto wakikua wakiona ile hali baba yao analia hadharani itakuaje...
Ruge ana maadui wengi yumkini zama hajamrekodi ila watu wa mawasiliano ndo wamevujisha
 
ila ruge kuwatumia vijana wake wa shilawadu kumzalilisha zama ni sawa eeh!!
je watoto watajisikiaje kuona mama yao anasemwa eti alikua desperate na ndoa hadi akaamua kuolewa na shamba boy wa majaliwa!!
Mbwa kala mbwa hiyooo
 
Desperate man!!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
UONGO TU NDO UMEWAJAAA NDO MAANA HAMUOLEWI NAMTABAKI HUMUHUMU.

YAAAN MNAKUA INTERESTED NAMAISHA YA WATU WENGINE KULIKO HATA MAISHA YENU ,,,,SHAME ON YOU !!![emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
Majukwaa mengine huyaoni wewe umefata nini asubuhi asubuhi Humu.
 
UONGO TU NDO UMEWAJAAA NDO MAANA HAMUOLEWI NAMTABAKI HUMUHUMU.

YAAAN MNAKUA INTERESTED NAMAISHA YA WATU WENGINE KULIKO HATA MAISHA YENU ,,,,SHAME ON YOU !!![emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
[emoji6] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] pole
 
haya habari za Russia...maana inaonekana ndio imeshuka kwenye ndege....aliyesema bashite anahusika sio watu wa jf bali ni soudy brown wa clouds media, sie humu tuna report tu...
ukianza kutu attack sie utakuwa unatuonea tu...
Nikosa kisheria kupokea na kusambaza taarifa Zisizo za kweli...

Au ID fake NDIO zinawachanganya ???? acheni ,ushwahili...huyo MTU wenu ,mbn kaifuta iyo habar ??????

Ruge kakosea Kakosea ....zamarad nimtu mzm anajua nn anafanya ......

Ndo maana HAMUOLEWI ,kwasababu umekosa akili za kufanya maamuzi sahihi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwendraaaa huna jipya . Nenda Kwenye kilimo na siasa kahubiri risala Zako
 
[emoji6] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] pole
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sema hongera ..... Sijawahi kupewa pole ,,nje ya msiba .

Hii inamaana KILA kitu kwangu kipo sawa [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
Back
Top Bottom