Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Unajua NDIO maana huwa nataman,,, watu wasiojulikana waanze kudeal na JF ...humu JF kuna kudhalilishwa kwa viongozi kuliko vuka mpaka !!!Wewe hivi unadhani kujiita Miss natafuta kwenye mtandao VPN code zako hujulikana, Ni vizuri ukaheshimu mamlaka kuu, usiite bashite huku unaishi mbezi Beach tena mlinzi wako ni maombi yako ya dini be carefull, Hii ni nchi hakuna siri kwa usalama wa taifa, Wewe na ukoo wako ni sehemu tu ya watu milioni 45 ,Take care andika ukweli story za kutunga zitakucost sana
Ngoja ,niendelee kuangalia ,, naamini kuna jambo zuri litafanyika kwa ajili ya JF na kuruhu nzima....,haiwezekan ,,,,kuwe na social media ambayo watu wanaitumia kuwatukana viongozi ,alafu iachwe achwe tu ,,Nayo nikuipiga BAN kama imeshindwa kuwawajibisha watumiaji wake.
HATA mitandao mingine huwa wanatoa adhabu za kwa watumiaj wao ,,,,, Kosoeni viongozi wanchi lkn Heshima yao iendelee kulindwa ,,,
alafu unakuta kamtu kanatukana oooohhhh ,, kesho nakesho ,,kanakua kapoleee misili ya MTU alopewa adhab ya kifo !!! ..
Muwe mnachunga midomo yenu ,,, yaaan nyie MAISHA yawatu binafsi lazima myaunganishe na viongozi ,, na bado mnatumia vibaya Uhuru wenu wakuongea ,,, mkishugulikiwa ,,, mnaanza kulia lia ....akili za wabongo sijui nan aliwaroga ...kutukana watu wakwanza ,,wakianza kudeal nanyinyi mnalia lia .
We dare to talk openly lkn SIO kwa stail hii kabisaaa ,,,, Sasa endeleen ,,, Muulize LEMA ,,muulize Manji ,,,, viongozi nikiongozi WAKO tu na ananguvy mkubwa sana ,, uwe unahela uwe masikin ,,, Nguvu ya kiongozi nikubwa zaidi .
Wengine humu ,ndo maana hampati kazi ,,mhitimu zaman sana ,,lkn daily mpo pale pale..
Sasa kwa Taarifa mtaendelea kuganga njaaa na umasikini tuuu[emoji23] [emoji23] .Usidanganywe na Intavyuuu unayofanya ,,, SIKU HIZI AJIRA ZA SERIKALI WAOMBAJI WAKE WANAKUA SCREENED SANAAA NA USALAMA NDIO UIPATE HIYO KAZI.
KWAMANTIKI HIYO WENGI TUTAENDELEA KUGANGA NJAAA.
mwisho niseme,,,, Tukosoe viongozi bila kuvunja heshima na Utu wao.