Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23]umenikumbusha inshu ya vituo vya mafuta vyote vya riz [emoji23][emoji23]tz nchi yanguAwamu iliyopita kila kitu ilikuwa riz awamu hii makonda nadhani awamu ijayo kila kitu watasema ni kidaganda
Makondakta bila shaka anakugongea mkeo wewe!!ndo alompa mishen town hela ya kumuoa zama fasta kumkomoa ruge
tatizo magazeti yenyewe yalikuwa marefu sana mi nilishindwa kuscreen shot kwa kweliJaman hakuna aliyewahi ku screenshot huko kwa sudi atuwekee hapa....wengine tulipitwa...
sio sisi ruta soud huyo na boss wake ila mange kashasema huyo hahusikiii. . haa haaYani kila jambo mnamsingizia Makonda duuu.......acheni uchuzi
Jamani naomba kuuliza, umalaya huu wa Ruge ulianza baada yakuwa na Zamaradi au na Zamaradi ni miongoni mwa hao wateja wa umalaya wa Ruge??😳
View attachment 599819 View attachment 599822
Wakati huo huo Soudy brown afuta ubuyu alioumwaga kuhusu mume wa Zamaradi aliyemuoa kwa kuhofia kibarua chake kuota nyasi. Wakat Zamaradi anaamin Soudy katumwa.
View attachment 599824
Mange kasemaa😀😀😀 tulinganishe Sasa story
View attachment 600050
beef ruge leo anabaki mtupuuu!!Hahahahaaaaaa
hahahah but hiyo saut kweli ya rugeeee??[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wahiii Rugee Analia ma audiooo 😀😀😀😀😱 hukoo hauchelew unaweza sikia mara Pap umefutwa.
mweeh sio kwa kilio kile.....yaani hii series ni ndefu kuliko ile ya hamisa na dai!!!Wahiii Rugee Analia ma audiooo 😀😀😀😀😱 hukoo hauchelew unaweza sikia mara Pap umefutwa.
mie sina kitu ila nakupendamwanaume muongo sitamvumilia kamwe? sema tu ukweli kwanini udanganye una maisha ya hali ya juu huku huna kitu?