SDG
JF-Expert Member
- Feb 28, 2017
- 7,631
- 8,073
Ndo maisha ya kileo,muhim kuwa makini sana,hii si kwa wapenzi tu hata watu wa kawaida,kurekodi,taking skinShotHuyu Mange ndo anazidi kumuharbia Zamaradi kwanza inaonekana Zamaradi ndio aliemrekodi Boss Ruge, sizani kama hii ni sahihi ukifkria kwamba wale ni wazazi, mulio karbu na Mange mwambieni pale anaiharbu familia wala hamdharirishi Ruge.. Alafu mambo ya ndani kurecordiana ndo nn.. Alafu bado mnamuita Zamaradi yupo smart upstairs kweli unamrekodi mzazi mwenzako alafu unarusha mitandaoni, hv watoto wakikua wakiona ile hali baba yao analia hadharani itakuaje...