Zamaradi: Niacheni na mishentown wangu

Kwa asilimia kubwa huu ni uongo haiwezekani kila kitu asingiziwe mkuu wa mkoa wa dar ,,,acheni kutufanya mafala mjini nyie
 
dooh kumbe mtonyo wooote wa ndoa katoa bashite? dunia ina mambo hii!!
 
sudi bhana...eti mishen town alivyoona hana hela ya harusi akaamua kwenda kwa bashite kuomba msaada...bashite naye akaona atumie fursa hiyo kumuumiza mbaya wake ruge akapiga simu hapo hapo kwa tajiri mmoja alete milioni 25....haa haaa nacheka kama mazuri
 
Sio kwa ubuyu huu. Looh. Wewe ni mhadhiri nini wa mambo ya kunyapia nyapia?
 
UONGO MBAYA KILA KITU MNAMSINGIZIA MAKONDA KHEEEE SAKATA LA LISSU MAKONDA ANATAJWA,KUOLEWA KWA ZAMARADI MAKONDA YUPO. MAKONDA KAGEUKA SUPERMAGIC KWA KILA KITOKEACHO MJINI AISEEEE
numbisa chunga kauli zako futa neon moja hapo ohoooo
 
ila bashite ni noma nimemkubali.zama katolewa kafara tu hapo
Wewe hivi unadhani kujiita Miss natafuta kwenye mtandao VPN code zako hujulikana, Ni vizuri ukaheshimu mamlaka kuu, usiite bashite huku unaishi mbezi Beach tena mlinzi wako ni maombi yako ya dini be carefull, Hii ni nchi hakuna siri kwa usalama wa taifa, Wewe na ukoo wako ni sehemu tu ya watu milioni 45 ,Take care andika ukweli story za kutunga zitakucost sana
 
Hapa ndo asiekujua atakujua kuwa unatumia I'd ya jinsia tofaut naww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…