Zamaradi wa Clouds kashajifungua?

Radhia Sweety

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2011
Posts
4,433
Reaction score
1,771
Naomba msaada wa kujulishwa maendeleo ya ujauzito wa huyu 'former classmate' wangu. Ni muda tangu nimesikia ana kibendi na tangu hapo sijapata taarifa kama ameshajifungua au bado.
 
Duuh former classmate wako, you shoud know her better. Kazaa hakuzaa it deosn't make different amongst 45m Tanzanians
 
keshajifungua mjukuu wa baba rizi tena baby boy,familia ya kikwete yaongezeka!!!
 
jaman hivi ni kweli riz ndo anabanjua pale???
 
Kama wanaume wazima na kende zao wanajigongagonga kwa mtoto wa Mkwele sembuse hii mbunye Zamaradi!? lazima abanjuliwe tu, ila namuonea huruma huyu mtoto maana atakaa muda mrefu bila malezi ya Baba, maana kuanzia 2015 huyu Fisadi mtoto ni mfungwa mtalajiwa.
 
Naomba msaada wa kujulishwa maendeleo ya ujauzito wa huyu 'former classmate' wangu. Ni muda tangu nimesikia ana kibendi na tangu hapo sijapata taarifa kama ameshajifungua au bado.

Class mate wako wapi maana St.Augustine alitimuliwa shosti mwenye viguuu kama fimbo ya pool table..yupo humu JF anatumia jina la Mrembo by Nature!
 
mkuu sijakusoma bado...unaposema ana viguu kama fimbo ya pool table unamaanisha vyembamba sana?vimekaa upande upande?vimekomaa komaa?akitembea viguu vinapepesuka?au ulimaanisha yote hapo juu??...sijakusoma bado mwanangu!!!
 
haha haha..pigia mstari..yote majibu hayo dogo!
 
unanipaga raha humu jamvini kwa kumpenda mama yako, kudos to u! hayo ya miguu ya mrembo by nature siingilii hayo yenu we anders batta na mwenzio matumbo kha!

😛eace: tena kaanza likizo leo..ndo mana lunch time hajanipigia..ngoja nimpigie umenikumbusha! ha ha :A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:
 
Mhh wambeya ka kipindi cha jana tena na mawingu frequency media
 
😛eace: tena kaanza likizo leo..ndo mana lunch time hajanipigia..ngoja nimpigie umenikumbusha! ha ha :A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:
msalimie, mwambie mdada mmoja jei efu anakusalimia! lol! mama's are the best, they are soooo sweet acha kabisa!
 
Class mate wako wapi maana St.Augustine alitimuliwa shosti mwenye viguuu kama fimbo ya pool table..yupo humu JF anatumia jina la Mrembo by Nature!

JF ni noumer, mshanibatiza mara hii, uwiii nicheke mieee hahahahahahaha , basi bana nlishajifungua tena mtoto wa kiume, mnaruhusiwa kuja kuniona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…