Radhia Sweety
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 4,433
- 1,771
Naomba msaada wa kujulishwa maendeleo ya ujauzito wa huyu 'former classmate' wangu. Ni muda tangu nimesikia ana kibendi na tangu hapo sijapata taarifa kama ameshajifungua au bado.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
keshajifungua mjukuu wa baba rizi tena baby boy,familia ya kikwete yaongezeka!!!
keshajifungua mjukuu wa baba rizi tena baby boy,familia ya kikwete yaongezeka!!!
Una uhakika ni mjukuu wa kikwete?
Kama wanaume wazima na kende zao wanajigongagonga kwa mtoto wa Mkwele sembuse hii mbunye Zamaradi!? lazima abanjuliwe tu, ila namuonea huruma huyu mtoto maana atakaa muda mrefu bila malezi ya Baba, maana kuanzia 2015 huyu Fisadi mtoto ni mfungwa mtalajiwa.jaman hivi ni kweli riz ndo anabanjua pale???
Naomba msaada wa kujulishwa maendeleo ya ujauzito wa huyu 'former classmate' wangu. Ni muda tangu nimesikia ana kibendi na tangu hapo sijapata taarifa kama ameshajifungua au bado.
Class mate wako wapi maana St.Augustine alitimuliwa shosti mwenye viguuu kama fimbo ya pool table..yupo humu JF anatumia jina la Mrembo by Nature!
mkuu sijakusoma bado...unaposema ana viguu kama fimbo ya pool table unamaanisha vyembamba sana?vimekaa upande upande?vimekomaa komaa?akitembea viguu vinapepesuka?au ulimaanisha yote hapo juu??...sijakusoma bado mwanangu!!!
unanipaga raha humu jamvini kwa kumpenda mama yako, kudos to u! hayo ya miguu ya mrembo by nature siingilii hayo yenu we anders batta na mwenzio matumbo kha!
haha haha..pigia mstari..yote majibu hayo dogo!
unanipaga raha humu jamvini kwa kumpenda mama yako, kudos to u! hayo ya miguu ya mrembo by nature siingilii hayo yenu we anders batta na mwenzio matumbo kha!
msalimie, mwambie mdada mmoja jei efu anakusalimia! lol! mama's are the best, they are soooo sweet acha kabisa!😛eace: tena kaanza likizo leo..ndo mana lunch time hajanipigia..ngoja nimpigie umenikumbusha! ha ha :A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:
Class mate wako wapi maana St.Augustine alitimuliwa shosti mwenye viguuu kama fimbo ya pool table..yupo humu JF anatumia jina la Mrembo by Nature!
unanipaga raha humu jamvini kwa kumpenda mama yako, kudos to u! hayo ya miguu ya mrembo by nature siingilii hayo yenu we anders batta na mwenzio matumbo kha!
Puuuuuuuuhhhh!!.....Kogh kogh kogh kikohozi kimenibana mieeeee