Zamaradi wa Leo Tena........

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258
Jana (280212) nilishuhudia mtangazaji bora wa kike 2011 Zamaradi Mketema akisema kipindi chake maarufu hakitakuwa hewani (mwisho wake) akiwa anamhoji Kanumba......nilisubiria kwa hamu nione atasema sababu gani lakini akaishia kwa kuaga.........

.......ama badu niliona kama ana kiashiria fulani hivi....je yawezekana ndio sababu za kipindi kutokuwa hewani???? Ina maana hakufanya mentorship kwa subdornate/coalegue wake?

...........nawaachia maswali wanajamvi
 
Inawezekana amepata sehemu nzuri zaidi ya hapo na kula maslahi...
 
Your credit is below Sh 30. Call *149*05#to get a loan from Tigo. Terms and one time fee apply
 
kule redioni (Leo tena/movie leo) kimodo ndio anaendeleza kazi yake labda kwenye TV wamekosa wa kumsaidia
 
nanakaribia timia kuwa mwanamke sasa, by may au june hivi atarud hewan tena......................all the best zamaradi
 
nanakaribia timia kuwa mwanamke sasa, by may au june hivi atarud hewan tena......................all the best zamaradi
UNAMAANISHA NINI HAPO KWENYE RED?? mie simo si unakumbuka ule wimbo wa Manungayembe???ahsante kutujuza unanekana ndio ww muhusika maana una data hadi za siku, tarehe na saa
 
Jamani eh amesema kipindi kitaendelea kuwepo ila ruben ndege(ncha kali) ndo atakua anaongoza mpaka ye atakapo fanya mazoezi kupunguza tumbo lol
 
Nadhani uko sahihi...nani anakula mzigo huu...sijasikia ndoa..sio Ridh1 kweli???

Yaonyesha una data dadavua basi ridh1 si ana mke? au matarajiwa wa pili? walikuwa wapenzi?
 
Yaonyesha una data dadavua basi ridh1 si ana mke? au matarajiwa wa pili? walikuwa wapenzi?
Achana na Huyo dogo Ridh1, hata wewe akikuona tu...umekwisha na hivi ulivyo....yaani huhitataji UDADAVUZI......ni katika ku bett tu....
 
Achana na Huyo dogo Ridh1, hata wewe akikuona tu...umekwisha na hivi ulivyo....yaani huhitataji UDADAVUZI......ni katika ku bett tu....

Nasikia baba wa mtoto ni Ruge! Zama kadhani atapanda cheo kwa kumzalia...:embarassed2:
 
Nasikia baba wa mtoto ni Ruge! Zama kadhani atapanda cheo kwa kumzalia...:embarassed2:
Duh, aisee Rugee naye yumo? au ni baada ya DNA ndio wakapatanishwa na Sugu?
 
Inawezekana ni product yake anayotaka kuama nayo kwa hiyo hataki kumuachia mtu..inategemeana na mikataba waliyoingia na hiyo TV..wakati mwingine mtu analipia air time na anarusha kipindi chake,kwa hiyo akitoka anaondoka na idea yake...mfano Dr Ndodi anahama na idea yake kila anapoona inafaa..nadhani na huyu dada kafanya hivyo...ngoja tusubiri.
 
kpnd ktaendelea kuoneshwa na ncha kali..na zamaradi ana mimba ya RUGE MUTAHABA..
 
mhh kama kweli ni Ruge...yamewakuta bwela na miundombinu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…