chitambikwa
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 3,941
- 902
leo tena , ni ya redio gani eti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Clouds....ukweli nime edit kipindi chake maarufu ni Take one cha Cloud TVJana (280212) nilishuhudia mtangazaji bora wa kike 2011 Zamaradi Mketema akisema kipindi chake maarufu hakitakuwa hewani (mwisho wake) akiwa anamhoji Kanumba......nilisubiria kwa hamu nione atasema sababu gani lakini akaishia kwa kuaga.........
.......ama badu niliona kama ana kiashiria fulani hivi....je yawezekana ndio sababu za kipindi kutokuwa hewani???? Ina maana hakufanya mentorship kwa subdornate/coalegue wake?
...........nawaachia maswali wanajamvi
Anakaribia kujifungua
Jana (280212) nilishuhudia mtangazaji bora wa kike 2011 Zamaradi Mketema akisema kipindi chake maarufu hakitakuwa hewani (mwisho wake) akiwa anamhoji Kanumba......nilisubiria kwa hamu nione atasema sababu gani lakini akaishia kwa kuaga.........
.......ama badu niliona kama ana kiashiria fulani hivi....je yawezekana ndio sababu za kipindi kutokuwa hewani???? Ina maana hakufanya mentorship kwa subdornate/coalegue wake?
...........nawaachia maswali wanajamvi
leo tena , ni ya redio gani eti
kwi! kwi! kwi! Nimeipenda hii.watu mna maneno humu, mara mimba ya Ruge, mwingine kiashiria cha ngono kavu, unataka avae condom wakati anataka kuzaa... hebu punguzeni kidogo kah...!!! utadhani nyie condom mnazikumbuka.
Nadhani uko sahihi...nani anakula mzigo huu...sijasikia ndoa..sio Ridh1 kweli???
watu mna maneno humu, mara mimba ya Ruge, mwingine kiashiria cha ngono kavu, unataka avae condom wakati anataka kuzaa... hebu punguzeni kidogo kah...!!! utadhani nyie condom mnazikumbuka.
Kumbe ...umefukua makaburi ya nyumaOhhhppppssssss
Kumbe....[emoji45] [emoji45] [emoji45]
Imekuaje tena kubeba machepe kwenda kufukua makaburi ya watuOhhhppppssssss
Kumbe....[emoji45] [emoji45] [emoji45]