Zamaradi wa Leo Tena........

Zamaradi wa Leo Tena........

Jana (280212) nilishuhudia mtangazaji bora wa kike 2011 Zamaradi Mketema akisema kipindi chake maarufu hakitakuwa hewani (mwisho wake) akiwa anamhoji Kanumba......nilisubiria kwa hamu nione atasema sababu gani lakini akaishia kwa kuaga.........

.......ama badu niliona kama ana kiashiria fulani hivi....je yawezekana ndio sababu za kipindi kutokuwa hewani???? Ina maana hakufanya mentorship kwa subdornate/coalegue wake?

...........nawaachia maswali wanajamvi
Clouds....ukweli nime edit kipindi chake maarufu ni Take one cha Cloud TV
 
yani unavyosema kwa uhakika???? Kama we ndo ulipandikiza mbegu ya ruge kwenye tumbo ya zamaradi!!!

Mtakujaga shitakiwa nyie.:thinking:
 
ruge na zama.JPG

Connect dot apo.
 
Jana (280212) nilishuhudia mtangazaji bora wa kike 2011 Zamaradi Mketema akisema kipindi chake maarufu hakitakuwa hewani (mwisho wake) akiwa anamhoji Kanumba......nilisubiria kwa hamu nione atasema sababu gani lakini akaishia kwa kuaga.........

.......ama badu niliona kama ana kiashiria fulani hivi....je yawezekana ndio sababu za kipindi kutokuwa hewani???? Ina maana hakufanya mentorship kwa subdornate/coalegue wake?

...........nawaachia maswali wanajamvi

what i knw Zamarad amejifungua kama wiki 2 zilizopita
 
Jamani hii picha ilipigwa siku ya birthday ya zama, she was sharing her birthday cake with everybody at work including Ruge, the pic is edited to show just the two of them but there was a bunch of people around, kama una ushahidi wa maneno toa but dont edit pictures to clarify your "madeup, stories" and grow up people kha!
 
watu mna maneno humu, mara mimba ya Ruge, mwingine kiashiria cha ngono kavu, unataka avae condom wakati anataka kuzaa... hebu punguzeni kidogo kah...!!! utadhani nyie condom mnazikumbuka.
 
kwi! kwi! kwi! Nimeipenda hii.
 
Wow.. Am happy for her kama ameshajifungua..!
 
Nadhani uko sahihi...nani anakula mzigo huu...sijasikia ndoa..sio Ridh1 kweli???

watu wengine yaani mnataka kila kitu kizuri kimilikiwe na riz1. tunakwenda wapi nchii hii jamani?!!
 
watu mna maneno humu, mara mimba ya Ruge, mwingine kiashiria cha ngono kavu, unataka avae condom wakati anataka kuzaa... hebu punguzeni kidogo kah...!!! utadhani nyie condom mnazikumbuka.

bora umeliona mana mmmmh!
 
Ohhhppppssssss
Kumbe....[emoji45] [emoji45] [emoji45]
 
Back
Top Bottom