Zambia anafungwa na Morocco , Tanzania tunamfunga Congo, bado tuna nafasi kubwa tu

Salaam

Imani bado tunayo na ni kubwa mno, makosa tumeyaona na tunaenda kuyafanyia kazi na hatuna haja ya kuwalaumu wachezaji kwani ni sehemu tu ya mchezo na kawaida kwenye mashindano yoyote yalee

Tunapita hatua ya makundi Tanzania bila shaka yeyote

Ilikuwa tusipewe furaha leo na tupewe furaha kubwa mechi ya mwisho, ni bora furaha mwishoni kuliko kufurahi leo alaf kutolewa kwa kufungwa mechi ya mwisho

Nafasi bado tunayo, tuendelee kuiombea timu yetu pendwa TAIFA STARS [emoji1241]
Hizi ni ndoto za alinacha maana sijaona mpira ambao tunaweza sema tumecheza maana mbinu za kimpira hazipo kabisa na timu inacheza kama vile imeshinda bao zaidi ya 5. Yaani kucheza kwa kurudisha mpira nyuma mara kwa mara,kitokuwa na hamu au shauku ya kucheza mpira wa malengo,kutokushambulia na kucheza mpira wa kifaza faza Sana as if hawana haraka au tayari wameshafuzu?

Nilitegemea kuwa walau kocha abadili mbinu na kufanya wacheze mfumo 4:51 au 4:3:3 ili kuweza kushambulia na kukaba kuanzia kati au kuanzia katika lango la pinzani ili kutokuruhusu kushambuliwa na pia kuongeza mashambulizi kwa pinzani huenda tungeweza kucheza na kushinda bao hata 3 na Zaidi.

Mpira wa kurudisha rudisha nyuma,kukaa na mpira ili ku-possess mpira na kucheza kwa kuchelewesha muda hyo sio mbinu za timu ya taifa kucheza AFCON.

Nimeumia Sana kucheza kiwango finyu Sana na pia kumtoa kibu denis kuwa tayari ameshahinda mechi.

Nafikiri tutegemee kufungwa Zaidi ya bao 3 na hawa congo maana sisi hatuna mpira wa Kasi na pia hatuna mbinu za kimpira zipo zile za primitive communalism stage hatubadiliki unless labda tuongozwe na performance ya mtu mmoja mmoja kitu ambacho ni kigumu Sana kimchezo au tubadili mbinu ila sio hizi nilizoona.
 
Amini usiamini
 
Salaam

Imani bado tunayo na ni kubwa mno, makosa tumeyaona na tunaenda kuyafanyia kazi na hatuna haja ya kuwalaumu wachezaji kwani ni sehemu tu ya mchezo na kawaida kwenye mashindano yoyote yalee

Tunapita hatua ya makundi Tanzania bila shaka yeyote

Ilikuwa tusipewe furaha leo na tupewe furaha kubwa mechi ya mwisho, ni bora furaha mwishoni kuliko kufurahi leo alaf kutolewa kwa kufungwa mechi ya mwisho

Nafasi bado tunayo, tuendelee kuiombea timu yetu pendwa TAIFA STARS [emoji1241]
Huu sio uzalendo tu, ni ukweli na imani kubwa kwa team yetu. Viva TZ
 
Kama tumeshindwa Kwa Zambia ambae alikua pungufu na mchezo tumeushika mwanzo mwisho ndio ukashinde kwa Congo alie na moto namna ile 🤔🤔 acha masikhara wewe
 
Back
Top Bottom