Zambia: Azirai baada ya kugundua mkewe ni mmiliki wa nyumba waliyopanga

Tabia mbovu ipi? Mume kumwambia mke kapata kimada ni tabia njema?
Watajua wenyewe ila hapo mke katisha sana
Yaani mke anajenga mume wake hajui?!!

Kama ni kwenye kupigana,mke alitumia style ya kukaba shingo badala ya kurushiana ngumi[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mwanaume mmoja raia wa Zambia aliyetambulika kwa jina la Martin Stampa, anadaiwa kuanguka na kuzirai baada ya kugundua kuwa mke wake ndiye “mwenye nyumba” wake.

Kulingana na taarifa za mitandao ya kijamii nchini humo, imesema, Stampa (37), aliishi katika nyumba hiyo kwa miaka 15, na alikuwa akilipa kwacha 3500 kila mwezi ambazo mkewe alidai kuzipeleka kwa mwenye nyumba wao.

Hata hivyo, inadaiwa kuwa ugomvi ulizuka baada ya bibi huyo aliyetambulika kwa jina la Lombo Lushomo (27), kugundua kuwa mumewe alikuwa na uhusiano wa kimapenzi nje ya ndoa.

Mitandao hiyo, inaarifu kuwa Martin Stampa alimwambia mke wake kuwa alipata kimada kwa sababu alitaka mtu mwenye akili na anayejihusisha na mazungumzo mahiri ikiwemo kujituma katika utafutaji.

Inadaiwa kuwa, jambo hilo lilimkasirisha Bi. Lushomo, ambaye alimtaka kuhama na kumpisha na kumwambia kuwa hana akili za kutosha kwani amekuwa akimlipa kodi ya kila mwezi kwa sababu nyumba wanayoishi ni yake.

Mara baada ya kuoneshwa hati, ya nyumba hiyo, inasemekana Martin alipoteza fahamu na kuzimia kitu ambacho kilisababisha Wananchi kumpa msaada wa kumwagia maji ili kumzindua kisha kumuwahisha Hospitalini.

Stori nzur na inachekesha ila kuna jambo linafikirisha

Mwanaume ana miaka 37 mwanamke ana miaka 27 na inasemekana wamekaa kwa miaka 15

Ukichukua hyo 27 ukatoa 15 unapata 12 kwahyo jamaa alianza kukaa na huyo binti akiwa na miaka 12.
 
Yaani mke anajenga mume wake hajui?!!

Kama ni kwenye kupigana,mke alitumia style ya kukaba shingo badala ya kurushiana ngumi[emoji3][emoji3][emoji3]
Alisoma alama za nyakati akajua ipo siku kuna janga litamfika 😃
 
Hahahaaa wanawake wenye akili hii wakiwepo bongo wajuba tutanyooka wallah 😂😂
Wapo mkuu ipo hivi mwanamke huwa anakuwa na mpenzi muuza bucha,muuza duka,muuza,maji,muuzagenge, na muuza mkaa mmoja kwahiyo ukimpa alfu kumi ataenda kwa muuza genge antampiga nyanya😂😂 ataenda kwa muuza duka antampiga wese😉😉ataenda kwa muuza bucha antampiga utumbo na tusteki😂😂ataenda kwa muuza mkaa antampiga mkaa wa 1000 Kisha Ana malizia kwa muuza maji pale anachukua ndio kadhaaa bure unapo Rudi unakuta menyu imekamilika 😂😂😂😂 hapo Ile 10000 ataipeleka kwenye mchango kwa mama said na mchango huji kuu ona anaenda kujengea kwao na akimariza ujenzi ana lianzisha umpige ukimpiga anampa uroda barozi Kisha polisi baada ya hapo barozi anakuwa shahidi kwamba ulitaka kumpiga kisu amemuokoa yeye unakula miaka yako mitano jera yeye anauzanyumba anatafta Serengeti boy anakulanae Bata mpaka baasi wewe unachezea mijeredi jera"""😉😉😉😉
 
aise inatisha hii jamani sasa tufanyeje bro
 
Wanawake ni viumbe hatari sana aisee
 
Mwanaume mmoja raia wa Zambia aliyetambulika kwa jina la Martin Stampa, anadaiwa kuanguka na kuzirai baada ya kugundua kuwa mke wake ndiye “mwenye nyumba” wake.

Kulingana na taarifa za mitandao ya kijamii nchini humo, imesema, Stampa (37), aliishi katika nyumba hiyo kwa miaka 15, na alikuwa akilipa kwacha 3500 kila mwezi ambazo mkewe alidai kuzipeleka kwa mwenye nyumba wao.

Hata hivyo, inadaiwa kuwa ugomvi ulizuka baada ya bibi huyo aliyetambulika kwa jina la Lombo Lushomo (27), kugundua kuwa mumewe alikuwa na uhusiano wa kimapenzi nje ya ndoa.

Mitandao hiyo, inaarifu kuwa Martin Stampa alimwambia mke wake kuwa alipata kimada kwa sababu alitaka mtu mwenye akili na anayejihusisha na mazungumzo mahiri ikiwemo kujituma katika utafutaji.

Inadaiwa kuwa, jambo hilo lilimkasirisha Bi. Lushomo, ambaye alimtaka kuhama na kumpisha na kumwambia kuwa hana akili za kutosha kwani amekuwa akimlipa kodi ya kila mwezi kwa sababu nyumba wanayoishi ni yake.

Mara baada ya kuoneshwa hati, ya nyumba hiyo, inasemekana Martin alipoteza fahamu na kuzimia kitu ambacho kilisababisha Wananchi kumpa msaada wa kumwagia maji ili kumzindua kisha kumuwahisha Hospitalini.

Tungo tata [emoji856][emoji856][emoji849][emoji849] miaka inapingana 27y to 15y!!!
 
Back
Top Bottom