Zambia: Azirai baada ya kugundua mkewe ni mmiliki wa nyumba waliyopanga

Tabia mbovu ipi? Mume kumwambia mke kapata kimada ni tabia njema?
Watajua wenyewe ila hapo mke katisha sana
Yaani mke anajenga mume wake hajui?!!

Kama ni kwenye kupigana,mke alitumia style ya kukaba shingo badala ya kurushiana ngumi[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Stori nzur na inachekesha ila kuna jambo linafikirisha

Mwanaume ana miaka 37 mwanamke ana miaka 27 na inasemekana wamekaa kwa miaka 15

Ukichukua hyo 27 ukatoa 15 unapata 12 kwahyo jamaa alianza kukaa na huyo binti akiwa na miaka 12.
 
Yaani mke anajenga mume wake hajui?!!

Kama ni kwenye kupigana,mke alitumia style ya kukaba shingo badala ya kurushiana ngumi[emoji3][emoji3][emoji3]
Alisoma alama za nyakati akajua ipo siku kuna janga litamfika ๐Ÿ˜ƒ
 
Alisoma alama za nyakati akajua ipo siku kuna janga litamfika ๐Ÿ˜ƒ
Kweli vita havina muda wa makubaliano,tuishi kwa kujihami ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Hahahaaa wanawake wenye akili hii wakiwepo bongo wajuba tutanyooka wallah ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Wapo mkuu ipo hivi mwanamke huwa anakuwa na mpenzi muuza bucha,muuza duka,muuza,maji,muuzagenge, na muuza mkaa mmoja kwahiyo ukimpa alfu kumi ataenda kwa muuza genge antampiga nyanya๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ataenda kwa muuza duka antampiga wese๐Ÿ˜‰๐Ÿ˜‰ataenda kwa muuza bucha antampiga utumbo na tusteki๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ataenda kwa muuza mkaa antampiga mkaa wa 1000 Kisha Ana malizia kwa muuza maji pale anachukua ndio kadhaaa bure unapo Rudi unakuta menyu imekamilika ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ hapo Ile 10000 ataipeleka kwenye mchango kwa mama said na mchango huji kuu ona anaenda kujengea kwao na akimariza ujenzi ana lianzisha umpige ukimpiga anampa uroda barozi Kisha polisi baada ya hapo barozi anakuwa shahidi kwamba ulitaka kumpiga kisu amemuokoa yeye unakula miaka yako mitano jera yeye anauzanyumba anatafta Serengeti boy anakulanae Bata mpaka baasi wewe unachezea mijeredi jera"""๐Ÿ˜‰๐Ÿ˜‰๐Ÿ˜‰๐Ÿ˜‰
 
aise inatisha hii jamani sasa tufanyeje bro
 
Sijaendelea kuisoma hii tamthilia.
Mtu amekaa kwenye nyumba miaka 15.
Mke ana miaka 27. 27toa 15 ni 12.
Sasa Jamaa ana miaka 37, 37 toa 15 ni 22.
Kwa hiyo jamaa alioa mtoto wa miaka 12 na yeye 22, na wakakaa humo miaka 15!

Ngumu kumesa!!
โ˜นโ˜น tumepigwa niCHAI
 
Wanawake ni viumbe hatari sana aisee
 
Tungo tata [emoji856][emoji856][emoji849][emoji849] miaka inapingana 27y to 15y!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ