Zambia: Azirai baada ya kugundua mkewe ni mmiliki wa nyumba waliyopanga

Tungo tata [emoji856][emoji856][emoji849][emoji849] miaka inapingana 27y to 15y!!!
Hii taarifa ya umri sijui mleta mada kaitoa wapi?!! Kwenye mitandao ya Facebook au YouTube na kwingineko hakuna walipo taja umri wa mwanamke
 
Hukusoma pia umri wa mwanamke?

maana hapa kaandikwa ana miaka 27, na kaishi kwenye ndoa miaka 15.

Je aliolewa akiwa na miaka 12? (yaweza kuwa sahihi)

lakini Je, hio nyumba aliijenga akiwa na hio miaka 12?
Tukija kwenye nyumba inawezekana.

Labda alijengewa na wazazi wake.

Au labda alirithishwa na wazazi wake
 
☹☹ tumepigwa niCHAI
SIO CHAI nimeitolea DAR24 hata waandishi wanakoseaga kuchapa mfano gazeti la mwananchi wewe limesome kwenye mtandao utaona kuna wakati wanakosea.Ila hata kama ni chai message sent wanaume tupate fundisho hata wanajeshi wakifanya mazoezi hawapigani risasi za moto
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…