Citizen B
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 6,681
- 9,084
Sema hawa Viumbe inaonekana emotionally waliwahi kuevolve kuliko sisi...Maana ni kama wanatutawalaMamaeeee[emoji16][emoji16][emoji16]
Mpaka tunafikishwa court .ama kweli wanaume Ni bidhaa adimu
Ni kama wazungu wawili walioongoza kundi la watumwa 1000.
Just imagine wao wako wengi almost 65-35
lakini wamemanage kui'overcome principle of scarcity ambayo inasema less supply means more demand.
Yani sisi ndo tunawatongoza,Tunawahonga,Tunawapigania,Tunawatolea mahali,Tunawabembeleza,Tunawatunza,Tunawalamba miguu
Wakati ilitakiwa iwe vice versa kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app