Zambia: Binti afungua kesi dhidi ya mpenzi wake kwa kuwa naye kwenye mahusiano kwa miaka 8 bila kumuoa

Mamaeeee[emoji16][emoji16][emoji16]

Mpaka tunafikishwa court .ama kweli wanaume Ni bidhaa adimu
Sema hawa Viumbe inaonekana emotionally waliwahi kuevolve kuliko sisi...Maana ni kama wanatutawala
Ni kama wazungu wawili walioongoza kundi la watumwa 1000.


Just imagine wao wako wengi almost 65-35
lakini wamemanage kui'overcome principle of scarcity ambayo inasema less supply means more demand.
Yani sisi ndo tunawatongoza,Tunawahonga,Tunawapigania,Tunawatolea mahali,Tunawabembeleza,Tunawatunza,Tunawalamba miguu

Wakati ilitakiwa iwe vice versa kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeah sure kabisa. Mengi uliyoyataja hapo yanachagizwa na Maandiko yaliyopo katika vitabu vya dini"
 
Yeah sure kabisa . Mengi uliyo yataja hapo yanachagizwa na Maandiko yaliyopo katika vitabu vya dini "
Hivi dini na watu nini kilitangulia? Kama ni dini Basi poa ila kama ni watu basi utagundua dini ni manifestation ya utamaduni wa watu walioileta... So kama hao watu wangekuwa wanamtawala mwanamke "emotionally" Hata dini zinge'manifestate hicho kitu pia.


So point yako ya dini inaprove tu kuwa hawa viumbe walianza kutawala Long time sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😁😁 Jokajeusi alisema humu wanawake wanapenda sanaa na wanachukia Sayansi .(Sanaa Ni uongo na Sayansi Ni ukweli uhalisia) ... Hivyo Basi Kama jamaa angekuwa muwazi kwa huyo binti asingempata
Mtu m'badi wee 🀣🀣🀣
 
Mamaeeee😁😁😁

Mpaka tunafikishwa court .ama kweli wanaume Ni bidhaa adimu
AdimuuuπŸ™„πŸ™„πŸ™„fyuu πŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈ
 
Wanaume tunasakwa kwa tochi thamani imepanda miaka hii
 
Good 8yrs?? Niko interested na rulingπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Dunia inakimbia mbioo
 
Kama namuona makonda ange iga kosa kupokwa madaraka.
 
Breach of marriage contract! Which marriage? Hakimu anachemka!
 
Hii kitu Makonda alikuwa anaipambania hapa Dsm sijui aliishia wapi
 
Huo utaratibu wa kufungua kesi ukija bongo watashakiwa wengiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mnatuwashia moto na Bado mnatukojoza..πŸ˜‚πŸ˜‚ mmeumbwa mateso.
 
Hii hata hapa nyumbani Tanzania iko applicable, ni vile tu wengi wetu hatuzifahamu Sheria za ndoa na wala hatujisumbui kutaka kuzifahamu walau kwa uchache wake.

Kwa hapa unaweza kufungua kesi basing on "breach of a promise to marry", ambayo ndiyo itakuwa cause of action ya mlalamikaji.

Kwamba mwanamke unaaminishwa na mwanaume utaolewa, unaweka mategemeo yako yote kwake, baadaye anaingia mitini. Ukiwa na mwanasheria mzuri utapata fidia kubwa sana kutoka kwa mlalamikiwa (mwanaume).

Karibuni mnunue Kitabu cha Sheria nilichowaandikia, mahususi kwa wasomaji wasio wanasheria na wanasheria wachanga.

I humbly submit.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…