Zambia kufunga mpaka wake na Tanzania kwa hofu ya kuenea kwa COVID-19

Hivi kama wewe umo ndani nyumba unasema hufungi mlango, wa nje akachukua funguo na kuufunga mlango wewe wa ndani utaendelea kufungua mlango huo kwa sababu wewe ulikataa kuufunga?
Samahani ni vice versa. Zambia ni landlocked (wapo ndani ya nyumba) wakati Tanzania ina access to the sea (Tupo nje).
 
Bandari watatumia ya msumbiji na South Africa ambapo wapo wazi kwenye vita ya corona
 
Ukishabikia vijiwe misongamano mikusanyiko makanisani misikitini moja kwa moja unakuwa wewe CCM
Kaka kwa hali ya maisha yetu hapa tz watu lazima wakusanyike cha muhimu ni tahadhari tu kuzingatia,lakini mambo ya kujifungia wengi watakufa njaaa

Think twice
 
Wakati huo corona itakuwa imekwisha na watanzania wengi watakuwa wamekufa huku wazambia wakinusurika maambukizi toka Tanzania
Hamna kitu kama hiko Tanzania ikiwa na Corona basi majirani zetu lazima waendelee kuwa na Corona. Mipakani kuna njia za panya nyingi sana, acheni kujidanganya. Kama kufa tutakufa wote, sisi na majirani zetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…