Walnut Creek
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 5,830
- 6,315
Samahani ni vice versa. Zambia ni landlocked (wapo ndani ya nyumba) wakati Tanzania ina access to the sea (Tupo nje).Hivi kama wewe umo ndani nyumba unasema hufungi mlango, wa nje akachukua funguo na kuufunga mlango wewe wa ndani utaendelea kufungua mlango huo kwa sababu wewe ulikataa kuufunga?